Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Naombeni kujuzwa gharama za ushuru za uingizaji wa bidhaa nchini zinazohusiana na mambo electronics na IT. Ningependa kujuzwa gharama za ushuru kwa complete product(full system) na accesories bila kusahau na VAT. Ntashukuru sana kwa yeyote ambaye atajitolea kunisaidia katika hili.