Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
- Thread starter
- #41
Hahahahahah
Hebu fanya hamu siku moja nawe upitepite mitaa ya Mikanjuni, Sahare, Makorora, Mabanda ya Papa, Ngamiani n.k usikie harufu ya hiliki na viungo kuanzia vya chai hadi vya pilau. Wenyewe wanasema watu wa Bara wanachemsha chai wakati Tanga chai yapikwa