Noma sana

Bora kidogo hao mkuu, usiombe ipikiwe wali na muhaya daaaaah, utokula kabisa

Yaani hawa kama umezoea kula vizuri, never date msichana wa kihaya kwani akikupikia lazima utapatwa na muharo wa damu au kipindupindu. Yaani they are so useless in cooking, wao wanadhani kila mtu anakula wadudu (senene) na matunda (ndizi) as chakula. Yaani unachemsha tu basi kimeiva.
 
Ni sheeeeedah

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom