Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,274
- 115,198
Kabisaaaa.Umeona eeeeeh
Sesten Zakazaka njoo uone chapati huku. πππ Mi nimependa hizo za Arusha. ππ
Kabisaaaa.Umeona eeeeeh
Niliona YouTube wale waliosema hawali kushiba wanakula kumalizaMkuu uliwahi ila chapati ya chugga?
Daaaaaaaah, zile huwezi kushiba mkuuNiliona YouTube wale waliosema hawali kushiba wanakula kumaliza
Hahahaa. Yah! Najivunia chapati za kwetu hizo.Hahahahahahah, na ww utakuwa wa Arusha nahisi
Hatari, hapa ndo mahala paoHawa hapa
View attachment 1096386
Shadeeya hizo za Arusha zimepikwa kwa ngano isiyokobolewa? Lakini kama nausoma moyo wako vile umedondokea kwenye kitu cha TangaKabisaaaa.
Sesten Zakazaka njoo uone chapati huku. πππ Mi nimependa hizo za Arusha. ππ
Itakuwa unga wa kawaida tu Ses ila si wajua tena kupika ni kipaji.Shadeeya hizo za Arusha zimepikwa kwa ngano isiyokobolewa?
ππππLakini kama nausoma moyo wako vile umedondokea kwenye kitu cha Tanga
Hapo wenyewe nasikia huwa chapati ka hizo wanakula na yale Maharage yale ya kukata na chai ya maziwa pembeni. ππMimi hapo kwenye hizo za Tanga hunitoi aisee, halafu angalia zilivyokunjwa yaani Kimakororamakorora hivi
Hatari sanaItakuwa unga wa kawaida tu Ses ila si wajua tena kupika ni kipaji.
Hapo wenyewe nasikia huwa chapati ka hizo wanakula na yale Maharage yale ya kukata na chai ya maziwa pembeni.
Nimefurahi na hilo neno "kipaji". Wanikumbusha chapati zikiwa nzuri unasifiwa unga wa ngani ndio mzuri, zikiwa zimekataa mapishi basi lawama anatupiwa mpishi, sasa Shadeeya umeamua kumwagia sifa mpishi hivyohivyo japo ukawka anagalizo kua akipata uzoefu atatoa nzuri zaidItakuwa unga wa kawaida tu Ses ila si wajua tena kupika ni kipaji.
Yanaitwa maharage ya kuparaza na chai ya maziwa wanaita chai kiwete maana yake hata ikimwagika haitawanyiki jinsi maziwa yalivyokua mazito, hahahaaa watu wa Tanga!Hapo wenyewe nasikia huwa chapati ka hizo wanakula na yale Maharage yale ya kukata na chai ya maziwa pembeni. ππ
Tupeni na sie sifa jamaani. Maana mpaka zimekaa hapo kwenye sahani shughuli haikuwa ndogo. πππHiyo kitu ya Tanga unashushia na beans iliyoungwa safi kabisa huku imetupiwa na nazi
Ndio Ses huyo mpishi pole pole naye atakuwa mjuzi tu huko mbeleni.Nimefurahi na hilo neno "kipaji". Wanikumbusha chapati zikiwa nzuri unasifiwa unga wa ngani ndio mzuri, zikiwa zimekataa mapishi basi lawama anatupiwa mpishi, sasa Shadeeya umeamua kumwagia sifa mpishi hivyohivyo japo ukawka anagalizo kua akipata uzoefu atatoa nzuri zaid
Bora umenisaidia kunipa Kiswahili kinachotumika huko. πππYanaitwa maharage ya kuparaza na chai ya maziwa wanaita chai kiwete maana yake hata ikimwagika haitawanyiki jinsi maziwa yalivyokua mazito, hahahaaa watu wa Tanga!
Hapo umekua kama muibua vipaji maana umegundua kipaji cha baadae atakakachokuja kua nacho mpishi wetu eeh? Ila hebu mpe nasaha zako kwa sasaNdio huyo mpishi pole pole naye atakuwa mjuzi tu huko mbeleni.
Tanga hongereni sanaView attachment 1096065
Hebu fanya hamu siku moja nawe upitepite mitaa ya Mikanjuni, Sahare, Makorora, Mabanda ya Papa, Ngamiani n.k usikie harufu ya hiliki na viungo kuanzia vya chai hadi vya pilau. Wenyewe wanasema watu wa Bara wanachemsha chai wakati Tanga chai yapikwaBora umenisaidia kunipa Kiswahili kinachotumika huko. πππ
Hahahaaa. Nasaha zangu ni kwamba apike mara kwa mara tu basi mwisho wa siku atafikia hapo alipofikia huyo wa Tanga.Hapo umekua kama muibua vipaji maana umegundua kipaji cha baadae atakakachokuja kua nacho mpishi wetu eeh? Ila hebu mpe nasaha zako kwa sasa
Ewaaaaa. Usijali Ses natumai utakuwa mwenyeji wangu. πHebu fanya hamu siku moja nawe upitepite mitaa ya Mikanjuni, Sahare, Makorora, Mabanda ya Papa, Ngamiani n.k usikie harufu ya hiliki na viungo kuanzia vya chai hadi vya pilau. Wenyewe wanasema watu wa Bara wanachemsha chai wakati Tanga chai yapikwa
Hapo umemaliza Shadeeya, nasaha zinajieleza zenyewe. Na mimi basi anomba shule ya mapishiπ₯΅πHahahaaa. Nasaha zangu ni kwamba apike mara kwa mara tu basi mwisho wa siku atafikia hapo alipofikia huyo wa Tanga.
Sababu si ajabu huyo wa Tanga naye alitoka huko huko. πππ
Bora kidogo hao mkuu, usiombe ipikiwe wali na muhaya daaaaah, utokula kabisaArusha na Kilimanjaro ni ziro kabisa, sijapata ona watu wasiojuwa kupika kama wa hiyo mikoa. Mchagga akikupikia wali basi tegemea kula mawe, akikupikia ugali tegemea kupigana na makunja/magolori yasiyowiva. Akikuchomea nyama ndiyo kabisa, utakula mkaa/jiwe yaani nyama inakauka mpaka inakosa radha.