Nokia X7 yangu ya kichina nisaidieni jamani naaibika!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia X7 yangu ya kichina nisaidieni jamani naaibika!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mchajikobe, Feb 22, 2012.

 1. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,270
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Wakuu naamini wote mpo poa kabisa,nina nokia X7 lakini ni hizi za kichina,nilikuwa natumia head phones,lakini nikitoa head phones inabaki kwenye profile ya headset,haiwezekani kuichange kwenye profile nyingine,yaani option iliyopo hapo ni ku customize tuu huwezi ku personalise wala kuchange mode yoyote ile,kwa anayejua nisaidieni jamani!!!
   
 2. mkwatis

  mkwatis JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 323
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
Loading...