nokia wamerudi tena juuu n9 funiko

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,631
39,613
wale walokua watuponda watu wa nokia its time kufunga midomo, nokia wamezindua 3 operating system kipindi cha karibuni, symbian ana, symbian bella na meego

symbian ana imecompete vizuri na android na sasa hivi ukiwa na nokia s60v5 unaweza kushift kutoka operating system 1 kwenda nyengine kama ilivo android bila kununua simu mpya

nokia wametangaza wateja wao wote wanaotumia symbian ana wataweza ku upgrade kwenda symbian bella..

Tuyaache hayo ya symbian ana tuje kwenye hii meego best operating system ya mobile, hadi iphone imebidi wafanye haraka kutoa iphone 5 baada ya nokia kuteka soko tena

hebu tuangalie nokia9 kamzidi nini iphone 4

N9 is a MeeGo 1.2 based Smartphone while
iPhone 4 is a iOS 4 based Smartphone
N9 has larger screen ( 3.9>3.6)
N9 has Anti-glare polariser feature in
screen
N9 has Dolby Mobile sound enhancement
and Dolby Headphone support
N9 has internal memory up to 64GB while
iPhone 4 has internal memory up to 32GB
N9 has RAM memory 1GB while iPhone 4 has
512mb
N9 has class 33 EDGE/GPRS while iphone 4
has class 10
N9 has 8MP camera while iPhone 4 has 5
MP camera
N9 has HSDPA up to 14mbps while iPhone
has HSDPA up to 7mbps
N9 supports Java while iPhone does not
N9 can also boot Android OS
N9 has better battery standby time
N9 is in 3 color models (Black, Cyan,
Magenta) while iPhone 4 is available in
black / white colors
nasubiri kuona mawazo yenu nokia lovers

wakuu ... nimeona kwenye habari za biashara TBC 1 nokia wametoa simu inayotumia line tano .... duhu

kombo zipo n9 wafanyabishara wa nje mbona wapo wengi?

Lat hizo ni china mobile zilizochukua brandname ya nokia

• Thanks
Reactions: LAT
What is this?
Not super AMOLED screen, only 3.9",
no memory card slot, VGA secondary camera, 1GHz processor, not dual core, does not support regular SIM card.
OMG, I cannot live with this phone even a single minute!
na itaanzia mexico kuuzwa halafu ulaya wachina watatuwahi kama n8 walivyofanya na kuonekana sare sare maua .kitu BB POPOTE UNAHESHIMIKA

ts dual core era!!! N nxt year we are starting to see quad core devices(Kal El processors 4m nvidia)! 1080p video recording & playback! OLED displays,nokia is a superior hardware manufucturer i dnt knw hw they got left behind! Make a N8 succesor 4'' super AMOLED+ display,16MP,dual core/quad core,n throw some belle goodness in there n we got ourselves a winner! A man can dream...no?

nimeona samsung galaxy gorrila touch screen inakanyagwa na gari then haiharibiki wanaita x cover, thumb.jpg gsmarena_001.jpg

Iphone5 inakuja hiyo ndo itakuwa mwisho wa kazi mwaka huu mpaka mwakani. We subiria tua usikie stori ya iphone5 wiki tano hivi zijazo na inakuja na ios5.

pamoja na hardware specificationwalizonazo Nokia, ni nzuri si mbaya, zinatosha sana kwa matumizi ya kawaida ya simu, Lakini wanachokosea Nokia ni kuendelea kuishikilia hiyo Meebo Operating System. Nokia wangekuwa wanatumia android aisee, nadhani hata iphone wasingewakuta. Siku hizi watu wengi tuna nunua simu kwa kuangalia software applications, maana hardware specifications nyingi zinafanana, sasa Meebo app store sidhani kama wanaweza kufukuzana na Apple store au Android market kwa apps.

Iphone5 inakuja hiyo ndo itakuwa mwisho wa kazi mwaka huu mpaka mwakani. We subiria tua usikie stori ya iphone5 wiki tano hivi zijazo na inakuja na ios5.
mbona tayari mkuu nimetoa link yanye picha

Wenye kampuni husika wanawapatia fedha kwa ajili ya kuwatangazia biashara zao?. Naona kila mmoja anajitahidi kwa nguvu zake kutetea kampuni ambazo wamiliki wake wanaweza wasijue kama kuna ma-promoter wanawasaidia uku bongo.

pamoja na hardware specificationwalizonazo Nokia, ni nzuri si mbaya, zinatosha sana kwa matumizi ya kawaida ya simu, Lakini wanachokosea Nokia ni kuendelea kuishikilia hiyo Meebo Operating System. Nokia wangekuwa wanatumia android aisee, nadhani hata iphone wasingewakuta. Siku hizi watu wengi tuna nunua simu kwa kuangalia software applications, maana hardware specifications nyingi zinafanana, sasa Meebo app store sidhani kama wanaweza kufukuzana na Apple store au Android market kwa apps.

sasa hii meego ina boot android kaka application yoyote waeza eka kwenye nokia n9 kama ni ya android. Tuseme ni os symbina+android ni best in the world now kabla ya iphone5

wale walokua watuponda watu wa nokia its time kufunga midomo, nokia wamezindua 3 operating system kipindi cha karibuni, symbian ana, symbian bella na meego

symbian ana imecompete vizuri na android na sasa hivi ukiwa na nokia s60v5 unaweza kushift kutoka operating system 1 kwenda nyengine kama ilivo android bila kununua simu mpya

nokia wametangaza wateja wao wote wanaotumia symbian ana wataweza ku upgrade kwenda symbian bella..

Tuyaache hayo ya symbian ana tuje kwenye hii meego best operating system ya mobile, hadi iphone imebidi wafanye haraka kutoa iphone 5 baada ya nokia kuteka soko tena

hebu tuangalie nokia9 kamzidi nini iphone 4

N9 is a MeeGo 1.2 based Smartphone while

iPhone 4 is a iOS 4 based Smartphone

N9 has larger screen ( 3.9>3.6)

N9 has Anti-glare polariser feature in

screen

N9 has Dolby Mobile sound enhancement

and Dolby Headphone support

N9 has internal memory up to 64GB while

iPhone 4 has internal memory up to 32GB

N9 has RAM memory 1GB while iPhone 4 has

512mb

N9 has class 33 EDGE/GPRS while iphone 4

has class 10

N9 has 8MP camera while iPhone 4 has 5

MP camera

N9 has HSDPA up to 14mbps while iPhone

has HSDPA up to 7mbps

N9 supports Java while iPhone does not

N9 can also boot Android OS

N9 has better battery standby time

N9 is in 3 color models (Black, Cyan,

Magenta) while iPhone 4 is available in

black / white colors

nasubiri kuona mawazo yenu nokia lovers

Hellow chief,naomba unisaidie data za hyo ya kuupgrade symbian os mkuu

goog point mate
pamoja na hardware specificationwalizonazo Nokia, ni nzuri si mbaya, zinatosha sana kwa matumizi ya kawaida ya simu, Lakini wanachokosea Nokia ni kuendelea kuishikilia hiyo Meebo Operating System. Nokia wangekuwa wanatumia android aisee, nadhani hata iphone wasingewakuta. Siku hizi watu wengi tuna nunua simu kwa kuangalia software applications, maana hardware specifications nyingi zinafanana, sasa Meebo app store sidhani kama wanaweza kufukuzana na Apple store au Android market kwa apps.

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom