Nokia-uk-anniversary-prom

Mizzle87

Member
Jan 10, 2013
93
6
Habari zenu wanajamvi.

Ninashida ya kuelewa au kujua kama kuna promotion yoyote inayotolewa na kampuni ya simu ya nokia kama nilivyoiainisha hapo juu kwani nimetokea kupokea msg kwa mobile namba yangu kua nimeshinda 200'000/= pounds wakati hakuna promo lolote la nokia nililoshiriki. Katka msg yao ya kunitaarifu nimeshinda ktk hiyo promo wamenitumia REF NO, ambayo wamenitaka niitume ref no hiyo katka email yao nokiaint@live.co.uk ili niweze kuzipata hizo hela nilizoshinda. Wana JF hivi panaukweli au ni hackers na njaa zao wanataka kunipokea mjini.
 
Kaka kuwa makini sana hackers wa Mitandaoni kwa sasa ni wengi mno matapeli ni kila kona mkuuu be so careful...
 
Back
Top Bottom