nokia n8 inauzwa

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
nokia n8 used kwa miezi 6 inauzwa kwa 450,000 shs ipo kwenye good condition haina matatizo yoyote.
 
Isije ikawa mchina,maana kuna mshikaji mmoja mgeni wa haya mambo alishikishwa nokia n8 mchina kwa sh300000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom