Nokia lumia 920

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Wadau hii simu dukani inauzwa bei gani.kuna jama anataka kuniuzia ya kwake used 1M je hii bei imekaa mahala pake?
 
anataka kukupiga huyo kimbia,dukani ni elfu 750,
used usinunue zaidi ya elfu 500.
 
Nashukuru wa dau.mi nilisema nimpe laki sita amekataa kata
 
1M kitu cha mkononi ,jaman tuweni makin kwa lipi kilichomo mpaka upagawe hivyo?
 
Ushauri wa bure kwa watumiaji simu za mkononi.
msikubali kununua simu aina ya android/iPhone kutoka kwa mtu (used), simu hizi zinarecord kila kitu na kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu hata ukiflashi. Ikitokea ukauziwa ambayo mwenye nayo aliitumia kwenye uhalifu, ni lazima utakamatwa kwa sababu Mara unapoweka chip yako simu hizo hutoa taarifa na ni rahisi wewe kuhusishwa na uhalifu uliotokea hapo nyuma kwa kutumia simu hizo. Natafuta clip yenye maelezo hayo kwa kina nitaiweka humu jamvini ili muone athari za kununua simu aina hizo kutoka kwa mtu ambaye humjui
 
1M kitu cha mkononi ,jaman tuweni makin kwa lipi kilichomo mpaka upagawe hivyo?

Naa utakutaa kwa wazazi wakee kulee sigimbii hawajaa wahii shikaa iyo milioni ivii
yanii mtuu unahesabuu kumi kumi miia mojaa unatoaa eti unanunu simuu wakat wadogo zako wamefukuzwaa ada shulenii mmmh kujipendaa ganii ukoo jamanii? Miliooni ohoo?
 
Una 1M ukanunue simu used kwanini?
jaribu hata kuggole uwe unajua bei halisi za simu
nenda kwa mawakala halisi utauziwa mpya kama alivoshauri Eli
 
Back
Top Bottom