Nokia e72 inauzwa

golan

Senior Member
May 8, 2013
175
6
Nauza nokia e72 iko katika hali nzuri sana.rangi ni nyeusi ,mwenye kuhitaji tafadhali piga 0713404014
 
Ngumu kuweka picha maana cm ziko home mm niko job,ila simu iko in excellent condition.Ninazi 2 ingine ya silver sema hii ina scratch.hizi ni original kutoka Uk
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371310954128.jpg
    uploadfromtaptalk1371310954128.jpg
    47.5 KB · Views: 209
sijawaelewa golani anasema simu ipo nyumbani,mzee naye anajiwekea picha kwani uliambiwa kuna mtu asiyejua e 72 ilivyo? nataka kujua ilivyo kwani muuzaji amesema ni used
 
Ngumu kuweka picha maana cm ziko home mm niko job,ila simu iko in excellent condition.Ninazi 2 ingine ya silver sema hii ina scratch.hizi ni original kutoka Uk

...Kwa hivyo wazo la kuuza hizo simu limekuibukia Ofisini Mkuu????:heh:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom