KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Jamani wanaJF wenzangu nisaidieni ninatumia simu aina ya Nokia E61i na nimeona dukani NokiaX2 nikaipenda ila sijaitumia niitambue kama ni bora zaidi ya hii ninayoitumia tafadhali msaada kwa wanaoitumia au waliokwishaitumia au wanaozifahamu wanisaidie ipi bora kama vipi niuze hii ninayoitumia ninunue hii X2 msaada tafadhali