Nokia E61i na Nokia X2 ipi iko juu?????????

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Jamani wanaJF wenzangu nisaidieni ninatumia simu aina ya Nokia E61i na nimeona dukani NokiaX2 nikaipenda ila sijaitumia niitambue kama ni bora zaidi ya hii ninayoitumia tafadhali msaada kwa wanaoitumia au waliokwishaitumia au wanaozifahamu wanisaidie ipi bora kama vipi niuze hii ninayoitumia ninunue hii X2 msaada tafadhali
 
du jomba hiyo ya E61i ni moma yani ukipata software zake utaipenda me ndo natumea yani nikama nipo na kompyuta mtaani
 
Ok! Nambie hiyo E61i ina khali gani(umeanza kuitumia lini na ulinunua ikiwa mpya?) ili niinunue ikapate hilo PHAMBA!
 
Ok! Nambie hiyo E61i ina khali gani(umeanza kuitumia lini na ulinunua ikiwa mpya?) ili niinunue ukapate hilo PHAMBA!
 
du jomba hiyo ya E61i ni moma yani ukipata software zake utaipenda me ndo natumea yani nikama nipo na kompyuta mtaani
Nisaidie na mimi hizo software mkuu na mimi niwe ktk ulimwengu wa teknolojia kama wewe na nisishawishiwe na hivi vinyumba ndogo vya sasa!!!!!!!!
 
Mimi nimetumia simu nyingi.Sasa hivi ninatumia Nokia 6280 nk.plus X2.Kwa ujumla nimeipenda X2 hasa nikilinganisha na bei yake.It offers me more than T.sh.1 50,000,bei niliyo nunulia hapa Morogoro.Sijui Dar. inauzwa kiasi gani.It should be cheaper.
 
Mimi natumia Nokia E61i, ni bomba kiasi ukiiwekea applications muafaka. Kinachonikera ni kutokuwepo kwa flash kwenye camera!
 
Mpo nyuma sana ndugu zangu...
Mnajadili windows 95 wakai leo hii twazungumzia windows 8? hapo hujazungumzia os ya apple.
Kama wataka simu zinazoenda na wakati basi nunua iphone,samsang galaxy tab au s2,htc nk.
Nokia hawana mpango.....
 
Jamani wanaJF wenzangu nisaidieni ninatumia simu aina ya Nokia E61i na nimeona dukani NokiaX2 nikaipenda ila sijaitumia niitambue kama ni bora zaidi ya hii ninayoitumia tafadhali msaada kwa wanaoitumia au waliokwishaitumia au wanaozifahamu wanisaidie ipi bora kama vipi niuze hii ninayoitumia ninunue hii X2 msaada tafadhali
Nilipewa Nokia E61i na Vodacom TZ. Ni simu nzuri sana katika suala la internet na applications nyingine. Tatizo lake kubwa ni kutosikika vizuri kwenye voice calls. Watu wengi wanalalama kwa hilo.
 
Mi mwenyewe natumia e61i its better zan hy ya x2 maana naona x2 bado uwezo wake kusurf ni mdogo so u better stay on zat E61i shikilia hapohapo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom