Nokia C6-01 vs Blackberry bold 9780

Raph

Senior Member
Jul 21, 2011
111
34
Naombeni mnifahamishe undani wa hizi simu,ipi nzuri nahitaji moja wapo
 
matumizi ya internet,meseji na pia ubora wake kwenye betri na durability
 
matumizi ya internet,meseji na pia ubora wake kwenye betri na durability

Kwenye betri blackberry hazikai na chaji kwa mda mrefu kama wewe ni mtumiaji sana wa internet. Kwa uzoefu wangu itakaa na chaji kwa masaa sita au saba hivi
 
natumia sana internet ndo mana nauliza ipi inanifaa kati ya hizo phone 2,hiyo nokia ni touchscreen sa sijajua uimara wa screen yake
 
Naombeni mnifahamishe undani wa hizi simu,ipi nzuri nahitaji moja wapo
Mi natumia Nokia C 6-00 inakaribiana na hiyo 01 . Ni touchscreen.Sina tatizo lolote na simu yangu.Kama unavyojua simu ikitumiwa sana chaji lazima ipungue upesi. Kinachonikera kuhusu Blackberry ni insecurity. Kila unachokifanya na simu yako ya Bb kiko monitored.Sawa hatuna cha kuficha ila binafsi hisia za kujua nachunguliwa sizipendi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom