Beauty is in the eye of the beholder. Trust your instincts mkuu
Anataka kujua uzuri kiundani sio urembo wa nje.
matumizi ya internet,meseji na pia ubora wake kwenye betri na durability
Mi natumia Nokia C 6-00 inakaribiana na hiyo 01 . Ni touchscreen.Sina tatizo lolote na simu yangu.Kama unavyojua simu ikitumiwa sana chaji lazima ipungue upesi. Kinachonikera kuhusu Blackberry ni insecurity. Kila unachokifanya na simu yako ya Bb kiko monitored.Sawa hatuna cha kuficha ila binafsi hisia za kujua nachunguliwa sizipendi!Naombeni mnifahamishe undani wa hizi simu,ipi nzuri nahitaji moja wapo