nokia asha series sasa ni smartphone, tengeneza app za s40 bila kujua code yoyote sasa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,689
39,757
nokia leo wamezindua simu 2 nokia 308 na nokia 309 simu hizi ni muongezeo wa nokia 305, 306 na 311 simu zote ni za s40 touch screen. moja kati ya mambo yanayofanya nokia ionekane inauza smartphone chache ni asha series kutotambulika kama smartphone.

asha touch ui ni simu ambazo zina rich specification kama kua na procesor ya 1ghz na kuweza kuchukua video katika 30fps. pamoja na kua nzuri simu hizi hazikua zikitambulika kama smartphone japo samsung androids zenye 600 mhz processor na kuchukua video katika 15 fps ni smartphone.

mashirika ya research kama gfk na idc yameziweka asha kwenye smartphone kwa kuangalia vigezo kua ina open enviroment kwa developer kudevelop application. hili ndo limenileta leo hapa

kwa sababu nokia wameruhusu kila mtu kutengeneza app za s40 basi wameturahisishia kazi kwa kutuekea app builder ya kutengeneza web app kwa ajili yetu tutengeneze. builder hii haihitaji ujue language yoyote ya code just drag and drop hadi app inaisha. na pia cha maana sana utaweza kuieka app store yaani ovi.


kutengeneza app nenda hapa http://xpresswebapps.nokia.com

hebu cheki video ya beni na app yake hapa


mi ngoja nkatengeneze yangu
 
Last edited by a moderator:
hizi hazichelewi asha series kuna za laki 2 hadi elf 79 inategemea na aina unayotaka
 
Hii iko poa nimeona kwa youtube hapo nikiwa kwa pc nitafanya ufundi utundu kidogo sijui kama nu lugha unaweza badilisha ila raha ni kama unako kamoja ka kufanyia test.
 
ukitoa asha 200 zilizobakia ni nzuri so itategemea mwenyewe unapenda ipi kuna za qwerty keyboard (kama keyboard ya computer) na kuna za touch screen

kwa touch screen nzuri kuliko zote ni asha 311
nokia-asha-311.jpg


na kwa yenye button (ina touch pia) nzuri ni asha 303
nokia-asha-303.jpg



na pia sometime unaweza taka double line kuna asha 305 (picha inafanana na 311)
 
Back
Top Bottom