Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,704
- 39,781
nipo dissapointed na Nokia 3, soc za mediatek wamezingua, ilileak na snapdragon 425 hope watatoa variant hio. Motorola moto E toka waanze kutumia mediatek ni kama imekufa, wanaacha kujali wateja wanafuata faida.
Nokia 5 naona kama ndio imebalance kwa bei around laki 4 unapata simu nzuri,
hata Nokia 6 sio mbaya japo nilipenda ingekuwa na snapdragon 625.
ngoja tusubirie Nokia 7 na 8 itakuwaje
Nokia 5 naona kama ndio imebalance kwa bei around laki 4 unapata simu nzuri,
hata Nokia 6 sio mbaya japo nilipenda ingekuwa na snapdragon 625.
ngoja tusubirie Nokia 7 na 8 itakuwaje