Noamba Ushari. Nimetembelea nchi moja iliyoendelea nahisi uchungu sana na aibu kubwa.

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
334
530
Noamba ushauri wako nini kifanyeke maalumu kabisa kwa ajili ya TANZANIA kupiga hatua za haraka sana kufikia malengo ya kuwa nchi yenye uchumu wa kati na zaidi ya hapo. Nipo serious sana shauri bila kuchanganya siasa na mambo mengine yasiokuwa na tija katika kuletea taifa la TANZANIA maendeleo. Ukitoa ushauri wako achana kabisa na ccm na chadema na ujinga mwingine woote jaribu kuwa practical zaidi tufanye nini.

Nipo ughaibuni huku naona aibu sana kuona wenzetu walivyoendelea nikitazama kwetu palivyo na yanayoendelea 😱😱😱😱
 
Mimi CCM nimekaa nje toka Nina miaka 6 ninesomea elimu zote marekani na ulaya ulaya nilirudi nikiwa na miaka 20 na masters degree mbili za uhakika .lete hoja unachoongea Ni kitu gani nikujibu
 
"Unahisi Uchungu"
Hizi hisia zako sio universal nikimanisha no body give the fu,.ck over your feeling

Weka hoja zamaana tujadili..haibu mpelekee mkeo chumbani..
 
Back
Top Bottom