N NOSVELA Senior Member Oct 24, 2012 198 27 Jun 15, 2013 #1 Wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani
Wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani
N NOSVELA Senior Member Oct 24, 2012 198 27 Jun 15, 2013 Thread starter #4 Iko arusha mkuu picha kesho naweka uhakika yani
muuza ubuyu JF-Expert Member Nov 23, 2010 3,511 3,477 Jun 16, 2013 #5 Mkuu NOSVELA, wahi mkuu tuuone mzigo! NOSVELA said: Iko arusha mkuu picha kesho naweka uhakika yani Click to expand...
Mkuu NOSVELA, wahi mkuu tuuone mzigo! NOSVELA said: Iko arusha mkuu picha kesho naweka uhakika yani Click to expand...
vivios JF-Expert Member Jan 4, 2013 244 9 Jun 16, 2013 #6 Ila jf bwana watu wanaMambo mkuu watabagain hadi bei alafu wanaingia mtini .yan ni balaaa
M mompome Senior Member Mar 28, 2012 145 39 Jun 26, 2013 #7 Kama bado ipo naomba tuwasiliane 0786926276 nosvela said: wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani Click to expand...
Kama bado ipo naomba tuwasiliane 0786926276 nosvela said: wakuu nauza townace noah yangu ambayo ni private ila ilishapiga kazi ya abiria ni nyeusi odo 190,000km namba a, bei 5ml, inatembea naitumia kwa kazi zangu zamizigo ya dukani Click to expand...