No women no cry ina maana gani?? Why no women no cry

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Hivi hiyo sentensi ina maana gani? Hv ni kweli bila wanawake hakuna kilio.? Au mtunzi alimaanisha nini
 
Ni kweli bila mwanamke hamna kilio wala sherehe! mfano mchukue mwanamke uende nae msibani, mkifika tu atalia na kukosa hata nguvu ya kutembea! mwanamke huyo huyo mpeleke kwenye harusi utamshangaa atakavyo cheza na kupiga vigelegele na kuwasifia maharusi, bado mwanamke huyo huyo mpeleke kwenye genge la wambea! hutaamini jinsi atakavyo kosoa jinsi harusi ilivyokosa mvuto na maharusi wasivyopendeza! huyo ndo mwanamke NO WOMAN, NO CRY!
 
NO WOMEN NO CRY... Hii imekaa mult demensional[mitazamo mingi tofauti.] unaposema no women no cry,this means that.. Nyie wanawake acheni kulia,ukombozi waja. No women no cry... Hapana! Msilie wanawake. Ina maana walikuwa wanateswa kinjisia,wananyimwa haki zao za msingi,so kama sikosei ni Lucky Dube au Bob Marley ndo walitoa wimbo wa reggae ulikuwa na jina la No Women No Cry.
Tofauti na hapo,kuna pia ile tafsiri ya kwamba kusingekuwepo na wanawake kisingekuwepo kilio.
Na mengine mengi., It is all about Literature. Nawasilisha.
 
Wametuliza sana hawa. Now we can live happily ever after.

End of story.
 
NO WOMEN NO CRY... Hii imekaa mult demensional[mitazamo mingi tofauti.] unaposema no women no cry,this means that.. Nyie wanawake acheni kulia,ukombozi waja. No women no cry... Hapana! Msilie wanawake. Ina maana walikuwa wanateswa kinjisia,wananyimwa haki zao za msingi,so kama sikosei ni Lucky Dube au Bob Marley ndo walitoa wimbo wa reggae ulikuwa na jina la No Women No Cry.
Tofauti na hapo,kuna pia ile tafsiri ya kwamba kusingekuwepo na wanawake kisingekuwepo kilio.
Na mengine mengi., It is all about Literature. Nawasilisha.

mkuu unaweza kunipa maelezo japo kidogo kwamba KUSINGEKUWEPO WANAWAKE NA KULIA KUSINGEKUWEPO.Kivipi??
 
pitia lyrics za wimbo wa Bob, then utajua anamaanisha nini. Coz reference yetu hapa sio just a sentence. But rather the song.
 
wewe binafsi umeilewaje hyo sentensi.Nisaidie eh
. deejay-nasmile Charminggirl SALOK JERYSON simplemind Endangered


What does the Bob Marley song 'No Woman No Cry' mean?


Answer:



He's using a type of "pidgin" slang to say "No, please, woman, don't cry." Correct, 'nuh' is don't but why is he asking her not to cry?


Bob Marley alipokuwa-diagnosed with cancer, Rita (Mke wa Bob)broke down crying and he told her not to cry, look at where we have come from, the good times we have had, and the good friends we lost, everything will be alright


The original line of the song is "No, Woman, Nuh cry." Nuh is Jamacian for "don't," so what is meant by the lyric is No, Woman, Don't cry... He's leaving and reassuring her that the slum they live in won't get her down, that everything will be alright and "don't shed no tear.


Haya wimbo wote huu hapa

No, woman, no cry [Repeat: x4]

Said said
Said I remember when we used to sit
In the government yard in Trenchtown
Oba, ob-serving the hypocrites
As they would
Mingle with the good people we meet
Good friends we have had,
Oh, good friends we've lost
Along the way
In this great future you can't forget your past
So dry your tears, I say

No, woman, no cry
No, woman, no cry
Hey little darling, don't shed no tears
No, woman, no cry

Said, said,
Said I remember when we used to sit
In the government yard in Trenchtown
And then Georgie would make the fire light
As it was log wood burnin' through the night
Then we would cook corn meal porridge
Of which I'll share with you

My feet is my only carriage
So I've got to push on through
But while I'm gone, I mean

Everything's gonna be alright [Repeat: x8]

So woman, no cry
No, no, woman,
No, woman, no cry
Oh, my little sister, don't shed no tears
No, woman, no cry

I remember when we used to sit
In a government yard in Trenchtown
And then Georgie would make the fire light
As it was log wood burnin' through the night
Then we would cook corn meal porridge
Of which I'll share with you

My feet is my only carriage
So I've got to push on through
But while I'm gone

No, woman, no cry
No, woman, no cry
Woman, little darling, say, don't shed no tears
No, woman, no cry
Yeah

Little darling don?t shed no tears
No, woman, no cry
Little sister, don?t shed no tears,
No, woman, no cry,
---
.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom