No way, we were born so we must live

Gooodwin

Member
Sep 22, 2016
76
125
Kila kukicha afadhali ya jana. Funga mkanda, vuta pumzi, anza na nguvu mpya ya matumaini. Maana sipati picha bodi ya mkopo wakianza kukata hiyo asilimia 15 hali itakuwa vp?. alafu kama kweli mikopo kwa wenye madeni haitatolewa hadi utakapoclear deni la bodi, It is really and obviously that poorer will be enclosed to poverty cycle and will continue to be poorer forever and ever until the point that GOD take you out of this world. Anyway, We must abide, No way.
All in all, God bless Tanzanians we are always Tolerant, patient and perseverance.
 

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,287
2,000
Serikali ni kama inasema "Mtajua wenyewe sisi mbele kwa mbele"

Mungu tenda miujiza hali si hali.
 

dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
799
1,000
You still have an option. If you think life is so difficult just rely on the spiritual matters.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom