NO Smoking in Swahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NO Smoking in Swahili

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by mdau wetu, May 18, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NO Smoking in Swahili
  I am sure some of you have come across this before. But just to celebrate being a proud Kenyan, the unity in diversity aspect of it, here it goes...........

  After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assigned the duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their notice: Other councils are still working on theirs.......


  The Mombasa Town Clerk wrote:
  Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.


  The Kiambu Town Clerk:
  Wanyuanji wa thigara washuge sana. Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umchijwa marufuku na kaju kuanjia reo.


  The Machakos Town Clerk:
  Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .


  The Kisumu Town Clerk:
  Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!


  Wajir Town Clerk:
  Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.


  Kericho Town Clerk:
  Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu wee taona!!!


  Kisii and Nyamira Town Clerk
  Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana.


  Other Councils are still working on theirs.......   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Fun!! made my day!
  tunasubiri Mtwara Town Council watoe tangazo lao
   
 3. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mombasa naona kiswahili chao kimenyooka...onyo linasomeka na kueleweka kwa kila anaefahamu kiswahili vizuri
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mimi kama nasikia hii ny'ang'au nasema hifyo nyoronyoro mi iko napiga kiboko mbaka yeye nanyoosa urimi yake!
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Iko natembea kwa mateke(miguu).
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh! Hizo zingine wanachapia au!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ukiondoa Mombasa, hao wengine huenda ni lugha za asili sio kiswahili!
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,959
  Likes Received: 20,296
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi sana na ngoja tusbiri kwa jamaa zangu kina mura
   
 9. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  SHENG : Kuchoma fuaka mbele ya muadhara ni ngori kuanzia leo ngware. Ukibambwa ukibreak hii law na magova utaekwa machengerere na utiwe ndani. kuwa rada buda.
   
 10. L

  Leornado JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkenya ukimwambia naenda kwa bibi anajua unamaanisha unaenda kwa mkeo :biggrin1: .....

  Hawa jamaa huwa wananifurahisha sana na kiswahili chao, wapi Othorongongo na Mama Kayaiii.
   
 11. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ntwar town council= uchibute chigara eneo ii njomba....cherikali itakuchugulikia ukikaatwa....
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  nimeipenda.
   
 13. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2013
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Moshi town:
  Aisee babangu eeh, usivute siga-sigara kweli. Ukikamatwa utafu-utafungwa kweli.
   
 14. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2013
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Duu...! Nimecheka sana hicho kiswahili cha hawa jirani wetu.
   
 15. m

  matubara JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2013
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  No smoking - no small king!
   
 16. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2013
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hahaha. Hiri ribandiko rako uritakiwa kuripereka pare kwenye rijukwaa ra jokes.
   
 17. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2013
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,700
  Likes Received: 2,379
  Trophy Points: 280
  Aha!ha!ha!Aha!ha!ha!Aha!ha!ha! ya down wit' JF? ya will never age !
   
 18. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2013
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha haaaaaa u have made my day kwa kweli
   
 19. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,782
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  we umeongea kuluga cha kwenu, kwa kuwatahadharisha watu wa Mtwara. Watakuelewa kweli, maana wao kiluga chao sio hicho.
   
 20. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,782
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Wenyewe kiluga chao kiko hivi: Mtwala njini kuanzi nelo, unaute sigala paluungo vakakukamula vanakutwali hatua kali. nikupe nyingine kwa kisambaa?
   
Loading...