No room for racism

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Tangu uumbwaji wa dunia hadi leo mtu mweusi amekuwa akinyanyaswa sana na kubaguliwa hasa na mtu mweupe.

Kwa upande wangu nahisi kuna kitu huko nyuma mtu mweusi alikifanya ikapelekea chanzo hiki, either alimuudhi mtu mweupe au alimfanyia na hakupendezwa nacho.

Ni wakati wa kufikiria kwa jicho la tatu kwamba kuna cha ziada katika chuki ya mtu mweupe kwa mtu mweusi? Tufikirie kwa pamoja leo kuna ovu gani ambalo mtu mweusi amelitenda kihistoria hadi kufikia hatua ya kudhaurika na kunyanyaswa na mtu mweupe??

NO ROOM FOR RACISM
 
Acha tunyanyaswe tu. Wee angalia Jiwe alivyommiminia Lissu risasi kisa katofautiana naye kwenye hoja. Angalia anavyonyanyasa watanzania na kutapanya hela na kuzichezea hovyohovyo utadhani ni zake. Acha tu tubaguliwe
Daa hapa sisemi kitu
 
HAKUNA uovu wowote zaidi ya wivu na kutotaka kukubali ukweli. Wazungu walijitahidi kuigawa Afrika kwa ku-brainwash watu wetu na Waarab hivyo hivyo pia.

Kila mmoja hataki kukubali ukweli kuwa Waafrika ndiyo binadamu wa kwanza kuumbwa na mwenyewezi Mungu na Garden of Eden ilikuwa hapa hapa Afrika na wala si Uarabuni wala Ulaya but Tanzania (Serengeti).

Wakajaribu kutuletea dini zao za kipuuzi na kutufundisha kuwa ndizo dini za ukweli wakati ukweli ni kwamba hizo dini zao ziko plagiarized kutoka kwa imani zetu za Kiafrika. Waafrika, kutosoma kunatuharibu sana, someni Historia mjuwe ukweli.
 
Back
Top Bottom