No need of supersports tena kuangalia live game all over the world.

Kwa mechi za usiku kamata kitu cha TTCL mobille broadband, Banjuka promotion, mia 500 kwa saa na signal haikatikati
 
BIG UP MKUU kitu cha uhakika ichi kabisa tehe tehe! kwa uhakika zaidi unga net ya tigo ya speed ya hali ya juu hao pekee ndo uhakika kuchek kitu bila kuganda ganda wakati wowote lakini tigo kwa DAR 2... lakini airtel pia unachek lakini speed haiko juu wakati wowote ni baadhi ya muda kama mchana na asubuhi sana speed iko juu na unachek kitu dakika 90 HD swafi kabisa na veetle.... vile vile namie nimeona vyema niongeze baadhi ya website ya kuchek tv ambazo ni adim sana au ni bei ghali kuangalia pia kwa kuangalia live channel pia kama Sky Sport 1, Sky Sport 2,Sky Sport 3, Sky Sport 4, Sky Sport News, Eurosport 1, Eurosport 2, ESPN apa MyPremium.TV... ok ok na kwa channel zingine mchanganyiko tembelea apa FreeTvAll.com - Watch Free All Live Tv Channels Online Anywhere - Watch and Broadcast Live Tv Channels Online on Internet (Powered by FreeTvAll) pia LiveTvCafe.net - Watch Live Tv Channels Online Free - Watch and Broadcast Live Tv Channels Free Online (Powered by FreeTvAll) na hii kwa wale wapenz movie za kihindi apa ndo penyewe Watch Live Tv from Usa,Live Tv streaming in India,Watch Online Hindi movie only on sid4u.com - www.sid4u.com (Powered by ClipBucket).. ok ENJOY!!!

Thanks...
 
jamani kama unataka kufaidi live games all over the world iwe ligi ya uingereza, ligi ya brasil, soln hii hapa binafsi nime angalia game nyingi sana.

1= funguawww.reubenreagan.blogspot.com tafuta veetle tv plugin chini kuna link ya kudownload itakutake kwenye ukurasa
mwingine chagua regular then follow instructions ili kuidownload .hii itakusaidia ili uweze kuona.ina patikana hata google
2= install
3= afu nenda kafungue www.livetv.ru
itafunguka lugha ambayo haieleweki angalia juu kulia utaona bendera ndogo ya england bonyeza itafunguka kwa english language


tafuta neno football mandish makubwa kama hiyo hapa chini
1.gif

Football



zita funguka list nyingi ya table na time zitakazo chezwa
zenye neno live ya rangi nyekundu ndizo zilizo anza au zinachezwa kwa muda huo na kuoneshwa
bonyeza hiyo live itafunguka afu uta ona kitu kama hichi hapa chini chagua moja wapo ukiona inazengua chagua nyingine
Streams directly viewable in browser
#1 WebCastOn
#2 ZoneIn



Streams viewable using external software
#3 SopCast
#4 SopCast
#5 SopCast



ita funguaka kurasa mwingine wenye player yako ita anza kuonesha .
nime angalia game nyingi sana nimeona leo ni share na wabongo wenzangu 1oo % guarantee
KWA WATAKAOSHINDWA KUDOWNLOAD KUTUMIA HIYO BLOG LINKI NYINGINE HII HAPA Hotfile.com: One click file hosting: veetle-0.9.18.exe

Asante sana ndugu yangu nchi niliyopo hivi sasa ni saa 10:35 naangalia mechi ya Cameroon na portugue. poa sana nilikuwa napata taabu sana sasa najua ligi kuu ya England nitaangalia bila wasiwasi, nimeunganisha kwenye tv ya ndani naangalia kama nimelipia vile ha ha ha haaaaa. thanx sana.
 
vp speed ya airtel haikatikati?
kuna wakati na wakati haiko stable sana lakini mchana na asubuhi sana speed iko juu haikatiki katiki but somtimes kama jioni na usiku inakata kata also inadepend na stream unayoangalia kama inahitaj speed kubwa, ndogo au constant
 
Back
Top Bottom