No more Great thinker??JF?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,594
Mimi napata tabu sana kuelewa mawazo ya watu!!hivi humu JF ni sehemu ya watu wanaobarehe??aiingii akirini umepata demu wako umegonga unakuja kuanika huku,huu nadhani siyo usitaarabu hata kidogo,zamani ukipata demu kipindi cha barehe ndo unaenda kuhadithia! sasa humu kumegeuka hivyo!!No more Great thinker??:angry:
 
Kuna magreat thinkers wa ukweli humu my dia mbona wewe kuna siku ulisema unamtamani mke wa mtu? hiyo ilikaa vizuri kweli kaka angu mpenzi mimi nadhani MMU watu wanaingia kupunguza stress so chochote unaweza kukutana nacho cha maana au kisicho cha maana mradi mtu amejifurahisha na kuburudisha mtima wake huu ni mtazamo wangu tu
 
KakaKaiiza bwana, mbona we juzi ulikuwa unalalamikia suala la kuingia chumvini? hilo lenyewe limekaa vizuri?
 
Kuna magreat thinkers wa ukweli humu my dia mbona wewe kuna siku ulisema unamtamani mke wa mtu? hiyo ilikaa vizuri kweli kaka angu mpenzi mimi nadhani MMU watu wanaingia kupunguza stress so chochote unaweza kukutana nacho cha maana au kisicho cha maana mradi mtu amejifurahisha na kuburudisha mtima wake huu ni mtazamo wangu tu

mpashe mwayego...wengine tumebanwa na stress na humu kidogo zinapungua...hebu...
 
Kuna magreat thinkers wa ukweli humu my dia mbona wewe kuna siku ulisema unamtamani mke wa mtu? hiyo ilikaa vizuri kweli kaka angu mpenzi mimi nadhani MMU watu wanaingia kupunguza stress so chochote unaweza kukutana nacho cha maana au kisicho cha maana mradi mtu amejifurahisha na kuburudisha mtima wake huu ni mtazamo wangu tu

Sawa lakini siyo kueleza kwamba nimemgonga fulani maty nadhani umenielewa!!
 
Mimi napata tabu sana kuelewa mawazo ya watu!!hivi humu JF ni sehemu ya watu wanaobarehe??aiingii akirini umepata demu wako umegonga unakuja kuanika huku,huu nadhani siyo usitaarabu hata kidogo,zamani ukipata demu kipindi cha barehe ndo unaenda kuhadithia! sasa humu kumegeuka hivyo!!No more Great thinker??:angry:

Mkuu, Tanzania hii ina watu zaidi ya 40milioni, na hawa watu wako tafouti kimawazo na tabia 100%, hivyo tuna tabia tofautitofauti zaidi ya 40m, ninacho kiwaza, kipenda au kukichukia mimi si sawa na wewe wala yule. Hivyo tuvumiliane kwa yote, ila mwisho wa siku kila mtu anafurahi kwa kupata kile anachokitaka toka humu ndani.

Moja ya njia za ku release stress ni kujipa raha mwenjewe, hivyo JF ni sehemu watu wanapo jipa raha kwa kuongea yale yanayowafanya wapate raha, tuchukuliane hivyo mkulu KIIZA Huu ni mtazamo wangu jamani msinipige kamba.
 
Huko huru na mimi nimekuelewa hivyo na mimi ulikuwa mtizamo wangu pia!!
 
kakakiiza me ushauri wangu ni kua, don't take things too seriously because nobody else will and you will end up being frastrated with very minor issues.
 
Mh!vipi naona kama jamaa amebadilisha picha yake!!

Kwenda chumvini,kutamani mke wa mtu na kugonga demu wa mtu ni yale yale kasoro tarehe!!
 
Mimi napata tabu sana kuelewa mawazo ya watu!!hivi humu JF ni sehemu ya watu wanaobarehe??!No more Great thinker??:angry:

Sure ni sehemu ya wanaobalehe na waliokwisha balehe. About 60% ya Watz ni vijana so what is wrong with that? Wakishamaliza kubalehe wataendelea ku- Think Great wala usjiali.
 
Hiyo "great thinker" tumejibatiza wenyewe, great thinkers gani wanafikiria ya kwenye chupi saa zote?

Nani alituita sisi great thinkers"?
 
Back
Top Bottom