No moneyphobia huu ugonjwa wapesa na wewe unaweza kuwanao

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Kuna ugonjwa unaitwa NO-MONEYPHOBIA huu nahisi ninao huu ugonjwa...hii ni hali inayotokea endapo huna pesa unakuwa huwelewi kabisa kama siku onaona haiendi haraka yaani, unaweza ukawa unahisihisi njaa, yaani kama unapagawa ila ukizikamata pesa unaona mpaka hewa unayovuta iko Fresh iyo siku una vibe sana hata njaanjaa za kijinga huzisikii.

Twende
 
Sina hata 100 mbovu hapa lakini am fine na navuta oksijeni inapita mishipa yote hadi kwenye pituitary,.
 
Kuna ugonjwa unaitwa NO-MONEYPHOBIA huu nahisi ninao huu ugonjwa...hii ni hali inayotokea endapo huna pesa unakuwa huwelewi kabisa kama siku onaona haiendi haraka yaani, unaweza ukawa unahisihisi njaa, yaani kama unapagawa ila ukizikamata pesa unaona mpaka hewa unayovuta iko Fresh iyo siku una vibe sana hata njaanjaa za kijinga huzisikii.

Twende
Mkuu hiyo ni 'money phobia' au kua 'money monger'......
 
Back
Top Bottom