No Mister President, we do not need more Investments to improve our lives! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No Mister President, we do not need more Investments to improve our lives!

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, May 4, 2011.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Your excellency President Kikwete,

  I beg to differ with you Sir on your statement during May Day celebrations that we need more investements as a way of improving our living conditions.

  What we need Mister President is hard work, self discipline, living fiscally, clear and objective goals, become smarter and accountable managers of our resources!

  Mister President, your government has a thousand innitiatives on paper and continues to publish more, but there is inefficiency, bureaucracy, corruption and lack of accountability and follow through on anything.

  Please stop making political statements and start walking the talk!

   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Neno la Mchungaji.. mwenzio anasema bila uwekezaji hatuwezi kuendelea.. haijalishi huo uwekezaji unasimamiwa vipi, unafanywa na nani, kwa vipi na katika malengo gani.. ingekuwa uwekezaji peke yake ni dawa ya kuendelea kuna nchi zingekuwa mbali sana na sisi!
   
 3. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Porojo tupu huyu ndugu!
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Long time Reverend,

  Tanzania's policy on development in general or investment in particular is not supposed to and cannot be a ruling political party slogan but a meaningful and purposeful statement of intent with a coherent, consistent and commensurate set of well thought out and achievable objectives and instruments to ameliorate a properly diagnosed policy problem. The policy process should neither be sacrificed on the altar of political expediency as is often the case with many policies nor be a journalistic or newspaper story. A developmental policy for Tanzania must be predicated on a vision to transform the economy and society at large.
  The Chinese government has carried out a full-scale fight against poverty in an organized and planned manner over the past two decades, having amassed human, material and financial strength and mobilized all sectors of society for this purpose. While increasing investment to improve production and living conditions in poverty-stricken areas,
  China has also paid more attention to ecological and environmental protection and for sustainable development. This was all attributable to broad participation in subsequent reform drive economic growth and a well funded national poverty reduction program


  Tatizo ni kwamba pamoja na kusoma Uchumi bado anafarijika kusikia watu wakisema Rais anadanganywa na washauri wake wa Uchumi.
  Yes,we cant deny that we need Foreign Direct Investment(FDI) .Lakini ni lazima tuweke clear policies zitakazomfaidisha mtanzania,kuna ile sheria ya Private partnership ina mapungufu.nikipata muda nitaileta hapa au kule kwingine tuichambue

  Anaongelea Investment ilihali hawezi kudhibiti mfumuko wa bei na madhara yake wawekezaji uchwara wanakuja na kuzuia fursa za watanzania kuajiriwa,lengo la healthy Investment ni kuongeza Ajira.Sasa hata gharama za malighafi zipo juu,sarafu imeporomoka,Import ni Expensive,Kenya wananufaika kutokana na kuwa karibu na Potential Economic Power in the region waliolala(Tanzania).

  Ukimsikia anaongelea Investment anaongea kama vile anaongelea wakenya kuja kujenga shule tu.Kazi kweli,tabu tupu!Anadanganywa
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kamuambukiza na mwanae porojo.
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nalinganisha usemi wake (mkuu wa nchi) na tabia ya kizamani ya wazee kuzaa watoto wengi kama njia ya kuongeza labor force kwenye kashamba kanakoweza kulimwa na watu wawili au mmoja, ni ulimbukeni tu.
   
 7. m

  mkulimamwema Senior Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajemeni tumpe muda mh JK ili atize ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania pia na ile chorus"ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA" lakini kwa mwendo huu labda tumpe MH miaka 20 mingine atimize ahadi zake
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  :closed_2: by CDMA
   
 9. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu.Imani hii potofu aliyonayo rais wetu iapaswa kukemewa.
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Imani ya Rais wetu mpendwa ni kwamba Tanzania haiwezi kuendelea bila misaada ya nje, na misaada anayoitaka yeye ni kwa ajiri ya kununua bidhaa kama madaftari na vifaa vya kufundishia mashuleni, vifaa na madawa mahospitalini. Na ikiwezekana tujengewe miundombinu ya mabarabara!

  Kama angekuwa anakopa kwa ajiri kujenga miundombinu ya kuwezesha kesho tujitegemee kama mabwawa na mifereji ya umwagiliaji, n.k tungeweza kumwelewa.
   
Loading...