No hurry in africa........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No hurry in africa........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Mar 12, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  It has been a couple of years when my o-level teacher told me this statement.."NO HURRY IN AFRICA",sikutambua wala sikuelewa mana yake nadhani labda nilikuwa sijapanuka ktk upeo wa kudadavua na kuelewa mambo tofauti tofauti.,lakini sasa naelewa na nimegundua ule msemo una mana gani,yeah.-nimeelewa,oooh!!ndio nimegundua.,when we put into practical use huu msemo unawafanya viongozi wetu wa leo wawe wadumavu wa akili na hapa naomba nieleweke na mana viongozi wa vyama vyote vya siasa iwe cdm,ccm,cuf,tlp,sau,jahazi etc.,naongea hvyo kwa mantiki ya kwamba hao wa chama tawala wanatuongoza kwa spidi ya kinyoga kuelekea maendeleo ,kwa upande wa upinzani nao kama hawajitambui tambui na hawaelewi upande wao ni wa kuisifia na kuchallange serikali ile iwe ya kifanisi ktk kutenda kazi toward development,..wana-jf shime tuungane wale wa ccm na upinzani kama mie tufanye kazi na tuizike ile mentality ya no-hurry in africa ,remember-it can be done lets play our part ,said mwl.nyerere
   
Loading...