Twambie wee..............hivi divorce zote sababu zake ni makaribisho kwa mume eee?
kunguru hafugiki,
kama hio ndio salaam yako kila siku,huyo mwanaume lazima akinai..na talaka lazima upate..teh teh
Maty ona majibu hayo leo kazi unayo hapa utasema hayo umeyatoa wapi...!!la kuvunda halina ubani
Maty ona majibu hayo leo kazi unayo hapa utasema hayo umeyatoa wapi...!!
mai mai mai nini tena mkeku? hebu tuingie chumbani tutete...halafu wewe....ngoja kwanza tumalize hii kicheni pati hapa
mai mai mai nini tena mkeku? hebu tuingie chumbani tutete...
Ladies and Gentle men!!!!
If Women Would Welcome Their Husband Like this There Will Be No Divorces
Pole kwa kazi mume wangu, unaanza na bia au kiburudisho?
Kazi kwenu kina mama/dada ..
kama hio ndio salaam yako kila siku,huyo mwanaume lazima akinai..na talaka lazima upate..teh teh
Pole kwa kazi mume wangu, unaanza na bia au kiburudisho?
We maty kakwambia nani maneno hayo? Hata umbebe mgongoni hakuna kitu talaka mchana saa sita jua linawaka kalaghabaho tu wewe shauri yako
kwanza nataka unihakikishie kama disemba hii unaenda mndeny
hehehehe teh hi ni sawa na kuuliza makofi polisi....:target: mie sio kyasaka atiikwanza nataka unihakikishie kama disemba hii unaenda mndeny
nitakupatia glasi ya juice or any soft drink ambayo utapendelea mume wangu mpendwa