..bluetooth lazima ipate hewaDar Joto sana,inabidi apunge upepo kidogo kwenye tundu ndogo.
Huyu mahakani jela miezi sitaafazali adakwe tu hakuna namna
Hamna anasema Mzee wa magogoni muonevu bora,nchi ingechukuliwa na mfugaji,basi MTU unajiuliza sijui nyumbu mambo ya hivyo huwa ni kadi yaoAkipigwa cha elfu30,000 na kunyanganywa leseni anaanza kusema majirani wamemloga kwa kuwa anamililiki boda boda...