No Brexit! Malkia wa Uingeraza avaa Kofia ya EU!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
The english devil, Queen Elizabeti akiwa amevalia kofia inayofanana Bendera ya EU!

grossbritannien_queen_speech_hut_body_ap.4761940.jpg



_96577679_6b88ed00-ebe9-4ee8-bf40-811e930cceb5.jpg


Queen's Speech: Is the Queen wearing an EU hat? - BBC News
 
imefanana nini? hebu isabu nyota zilizopo kwenye bendera na kofia alovaa, naona km anaonesha kuwa EU itabaki na nchi 5 tu
 
Hii Brexit sababu yake kubwa ilikuwa ni mijamaa kuchoka na wageni wanaohamia kwao na kutishia utamaduni wao pamoja na kuwaletea ugaidi.

Hawakuelewa impact yake kiuchumi ingekuwa kama ilivyo sasa. Ila sifahamu kama wanaweza wakajaitisha referendum nyingine tena baadaye. Time will tell.
 
Back
Top Bottom