No Blacks Allowed: Chinese Restaurant Bars Black Natives Calling them 'Foreigners'

Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi...
 
Yani bora sisi waafrica, ila hawa wahindi weusi ni watu wanaonyanyasika sana duniani
Kwanza wananyanyaswa na wahindi wenzao ndani ya Nchi yao
Ni rangi nyeusi ndio inabaguliwa sana duniani, hata wahindi wenyewe kwa wenyewe wale wenye rangi nyeusi wanawabagua ingawa ni wahindi...
 
Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu.
 
Sasa Restaurant ya wachina we Mtu mweusi unatafuta nini?Mkilishwa Popo mtamlalamikia nani?Tafuteni migahawa ya watu weusi Wenzenu.
Kweli, ndiyo iliyobaki, lakini haitoshi kutupa haki zetu za uananchi, kwani wewe ni foreigner nchini kwako ndani ya mgahawa wa kichina?
 
Back
Top Bottom