No +255068410070 ????

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
690
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie.

mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao.

nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi

tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700

Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia
 
Mtumiaji anatumia software ya fake number, anakufahamu na yawezekana yuko bongo, nitafute nikusaidie kumfahamu!
 
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie.

mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao.

nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi

tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700

Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia

imesharipotiwa tcra hyo no inafanyiwa kazi kunasiku mhusika wa tcra alikuja wapo redio ikaripotiwa
 
weka wazi hapa jamvini usaidie wengi
Ndugu JF ina wengi sana weka hadharani Binafsi kuweni makini sana hasa watu wa JF wanapokwambi tuwasiliane else ni wachache wenye roho zakina DIDY...utakanyaga miwaya ya KOVA bila kujua kesi yako
 
no hata mimi napigiwa sana na namba hiyo lakini mbona naona kama namba ya airtel si wewe tu karibu watu wengi wanapigiwa ila ukipiga wewe huwa haipatikani
 
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie. mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao. nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700 Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia
Mkuu hiyo namba ni ya mtandao wa zain airtel. Hiyo 0 inajitokeza kwa kuwa unatumia mtandao wa tigo.
 
Ni customer service ya Airtel!
Hawa wahindi wanajua kubandika matangazo. Kwa siku unaweza ukapata hadi sms 5 za promosheni. Usiombee ukiwa unatuma sms. ukituma ya kwanza unapata msg. Inaendelea mpaka ya tano. Ukituma kumi inakuja nyingine. Nimewapigia kucomplain wakaniongelesha nusu saa (ukitoa dk 20 za kusubiri kuunganishwa). Uchakachuaji everi wea
 
Thank God! Nilidani niko peke yangu! Nimeishahesabu mara tano sasa nimepigiwa na hiyo namba na yenyewe ukiipiga inakuambia haipatikani. Huu ni Usumbufu. Ila mimi kila inapokuja mwisho ni 700 sio 70 yaani+2550684100700.
 
Jamani mwenye kujua code ya namba hiyo hanisaidie.

mmmiliki ananisumb ua kweli,akipiga nikipokea anauliza jina langu na kukata na baadaye kupiga tena karibu mara 10 kwa siku lakini mimi nikipiga naambiwa haipo na kweli ukitazama hizo namba zinazidi kwani kuna 0 kati ya code ya nchi na ya namba za mitandao.

nimejaribu hata kupiga namba 0684100700 laklini haifanyi kazi

tofauti ya namba hii na za kawaida ni kwenye sifuri tazama +2550684100700 na +255684100700

Nawezaje kujua mtu huyu yuko bongo hsap[a au mambo ya Technlojia

Mkuu tumekupata. Kuna watu wanacheza na simu za watu kwa makusudi mabaya. Hata kulleta huo usumbufu.
nakumbuka pia wakati wa kampeni no. 2557071788 ilitumika sana kusambaza sms za uchochezi+usumbufu na zenye ujinga+++.

Wataalamu wa ICT tusaidieni, nini hii kitu? Namna gani ya kuidhibiti?
 
Kama simu yako ina uwezo wa kublock namba bora uiblock akiwa anapiga huyo mtu atakuwa hakupati kamwe......hiyo ni njia mojawapo ya kuepuka usumbufu.
 
Naona ule mpango wa kuregister SIM cards umeishia kwenye kuregister tu! Manufaa hakuna kama kawa.

Kwa ninavyoelewa kufake namba kwenye GSM haiwezekani, at least kwa methods za kawaida, so hizo namba ndo zenyewe. Inaweza ikawa ni wizi, ukiwapigia wanakucharge kiasi kikubwa kuliko standard rate.

Unachoweza kufanya kama una simu ambayo iko advanced kidogo (S60,Blackberry, Android, Windows Mobile etc) kuna program za kublock call unaweza kuinstall kisha unaiambia izuie hiyo namba. Provider wako pia ana uwezo wa kublock namba kama ukiwaambia, ila bongo hii inaweza kuwa mtihani.
 
Ule mpango ulikuwa ni wa ki-Politik zaidi... nadhani unakumbuka Shamte alivyotumia database yenye namba zilizosajiliwa za wa-danganyika..
 
hooo
hata mm nimepigiwa ila napata ujumbe wa Karibu Airtel, unganishwa na airtel kwa 1/4 shilingi mara upigapo sim kuanzia saa 5-12 asbh. sasa wewe unayeulizwa jina mhhhh sijui!!! lakini uciogope sana

vizuri pia umejiexpress ulipokuwa na wasiwasi
 
Ni customer service ya Airtel!
Hawa wahindi wanajua kubandika matangazo. Kwa siku unaweza ukapata hadi sms 5 za promosheni. Usiombee ukiwa unatuma sms. ukituma ya kwanza unapata msg. Inaendelea mpaka ya tano. Ukituma kumi inakuja nyingine. Nimewapigia kucomplain wakaniongelesha nusu saa (ukitoa dk 20 za kusubiri kuunganishwa). Uchakachuaji everi wea

hivi hakuna jinsi kuomba tuinunue ile TTCL wenyewe tuiendeshe kisasa maana bila kuwa na mtanzania kwenye hii sekta magabachori watatusumbua sana.
 
Asanteni sana kwa kunisaidia na mm pia! maana kila nikiweka line ya zain nakuta the same no. above imenitafuta, kuna siku nilikua nimepumzika mchana cm nikaiweka silent nilipokuja kuamka nikakuta micd cal ya namba hiyo, nilipoipiga haipatikani! nikajua nimekosa dili la maana kumbe ujinga mtupu!! asante sana!!
 
hata mi inanisumbua mno hii number...mwanzoni nilidhani ni virus maana huwa siilewi..wala mi siipokei..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom