Nnawezaje kuangalia mechi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nnawezaje kuangalia mechi hii

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IrDA, Nov 11, 2011.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 566
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu hawajatangaza.Vilevile nina ndugu yangu yuko Malaysia na yeye anaomba kufahamishwa kama anaweza kuangalia online na ni kwenye website gani?
   
 2. networker

  networker JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  imesha chezwa tanzania kashinda 2 chad 1
   
Loading...