nnatafuta eneo lenye copper na Iron kwa kununua au jointventure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nnatafuta eneo lenye copper na Iron kwa kununua au jointventure

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Chipukizi, Sep 18, 2012.

 1. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Nna wawekezaji wanatafuta maeneo yenye madini ya copper na chuma ili kuyanunua mwenye nalo au ambae ana mtu anayo ani PM
  Nnatanguliza Shukrani
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  tuwasiliane eneo lipo na hata ukitaka copper zipo nipigie tuongee 0657145555
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  kaka Chipukizi, ni-pm namba zako nikuunganishe na mdau mmoha ana ekari za kumwaga zina copper kuanzia juu tu, maeneo ni mengi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ni PM kuna eneo ninalo lina Shaba ya kutosha.
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Mmh! Nielimisheni jama ntajuaje kama eneo langu lina hiyo copper?nna maeneo ya kutosha hapa arusha,nisijekuta nakalia uchumi mzee mimi.
   
 6. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Nielimisheni jama ntajuaje kama eneo langu lina hiyo copper?nna maeneo ya kutosha hapa arusha nisijekuwa nakalia uchumi mzee mimi.
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Wakati mwingine let's be serrious ndugu
   
Loading...