Nnape nauye:usinisahau mzee kwenye ufalme wako haya mapito tu atoki mtu

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
nilicheka pale nnape nauye aliposema jamani atuko kufukuzana na mbaya zaidi akaenda mbali ati kuvuana magamba sio kufukuzana bali wahusika kurekebisha maisha yao na jinsi walivyo

naona hapo anamwambia mzee usiniache bwana kwenye ufalme wakohaya ni mapito tu mzee wangu tuimarishe chama unajua hata serikali awakupenda kuwapeleka mahakamani wakina mramba ila waliposikia kelele za eu na wafadhili mzee ikabidi awatose kama ushahidi lakini akuna kinachoendelea so mzee usiogope wanapokungangania kwenye gamba nakuhakikishia niko na wew empaka mjengoni

anasikika kijana akimweleza mzee wa nmc arusha el
 

Attachments

  • usinisahau mzee ufalme wako mapito tu haya.jpg
    usinisahau mzee ufalme wako mapito tu haya.jpg
    49.6 KB · Views: 51
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom