Nnape be Sincere, Una Maoni Gani Kuhusu Mambo Haya ya Mchemba na Lusinde Bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nnape be Sincere, Una Maoni Gani Kuhusu Mambo Haya ya Mchemba na Lusinde Bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Jun 30, 2012.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Bw. Nnape,

  Heshima kwako. Nimekuandikia ujumbe huu nikiwa na imani kwamba utanijibu kwani katika mambo nayokusifu hili la kutembelea jf na kujibu hoja mbalimbali ni la kwanza. Sasa nina swali moja tu kuhusu wanaccm wenzie ambao ni Mchemba na Lusinde. Hawa jamaa nadhani umekuwa ukifuatilia nyendo zao ndani na nje ya bunge na hasa kwenye majukwa ya kisiasa. Hivi karibuni wakiwa ndani ya bunge hili la bajeti linaloendelea walitumia kauli za kejeli kuwasema cdm. Kwa maoni yangu kejeli zilipitiliza na kuwa matusi yasiyovumilika. Kwa mfano kitendo cha Mchemba kurusha na kutupa bajeti mbadala ya kambi ya upinzani kilinisikitisha sana mimi binafsi. Ajabu ya yote spika hakufanya ambacho wengi tungetarajia. Pamoja na hayo, kwa maoni yako toka moyoni mwako na Mungu akiwa anakushuhudia unaionaje conduct ya Mwigulu Mchemba na Lusinde wanapoiongelea cdm generally? Is it healthy kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu?
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu unafanya kichekesho kwa kesi ya tumbili unaipeleka kwa ngedere kuwa hakimu, kwani Nape yeye unamuona ana busara kweli?
   
 3. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ukisoma michango yake humu jamvini huwa anataka tuamini kuwa yeye ni mtu huru na makini katika kuchambua issues. Ndiyo maana nimemwomba anipe maoni yake katika suala hili.
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Navyomfahamu vuvuzela Nape ataamua kunyamaza kwa kuwa naye ni walewale au kutoa uharo ambao utabaki umekushangaza na kukuduwaza mwenyewe.
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  hawezi kuja, ukizingatia yeye mwenyewe hajui hata profesional yake , so sidhani kama ana ubavu ya kufanya analysis ya maana zaidi ya hao wachimia tumbo wenzie , kimsingi atakuja na swaga zile zile , za kusema anatukanwa, kwani yeye mwenyewe ana uweoz mdogo zaidi hata ya huyu mwigulu, magambo wote yaani utadhani mama mmoja ,
   
Loading...