Nnaomba utaalamu wa kujua ovulation dates kwa thermometre

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Wanajamvi, nmeskia kuwa unaeza kufanya uzazi wa mpango kwa kuruka kufanya mapenz siku za hatari; Hii ni kawaida ila njia yenyewe ya kuitambua siku halisi ya hatari ndio sina utaalamu nayo maana naskia ni kwa kuangalia changes za body temperature ( jotoridi la mwili)
Yeyote mwenye ujuzi anisaidie hasa madaktari na waschana wenzangu wazoefu
 
Back
Top Bottom