Nnahisi maumivu kwenye kidole tumbo na naogopa operation,msaada ma dr.

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
4,139
3,767
Wakuu pamoja na mgomo mlio. Nao naomba mnisaidie kama nnaweza pona kidole tumbo kwa dawa bila kuchanwa utumbo nko nyumbani Hata kulala kinanisumbua au kuruka au kujitingisha kwa nguvu kinaniuma naomba mawazo ni wapi sitafanyiwa op kama inawezekana
 
Umejuaje unayosikia ni maumivu ya kidole tumbo? Nenda hospitali, kwa sababu kuogopa hakutakuponya.
 
kidole tumbo ni nini?

ni appendix mkuu ana Appendicitis ... dawa yake ni operation " Appendectomy" .... Appendicitis huwa ina stages zake , awahi kuitoa isije ikawa chronic na kumletea matatizo

even though zipo non surgical treatments esp. for acute Appendicitis ila ya mkuu si acute
 


ni appendix mkuu ana Appendicitis ... dawa yake ni operation " Appendectomy" .... Appendicitis huwa ina stages zake , awahi kuitoa isije ikawa chronic na kumletea matatizo

even though zipo non surgical treatments esp. for acute Appendicitis ila ya mkuu si acute

asante
 
Ebu jaribu kuinua miguu juu wkt umelala kimgongo,ukiweza basi ujue sio appendix kama ukishindwa nenda hsptl wakafanye oprtn
 
Hilo la kulala ni dk ngapi ?ahsante naenda regency waconclude wenyewe lkn sipendi operation
 
Hilo la kulala ni dk ngapi ?ahsante naenda regency waconclude wenyewe lkn sipendi operation

Nakushauri, chonde chonde, chezea malaria siyo kidole tumbo, kikipasukia tumboni chance ya kupona ni ndogo mno. usijiwekee sheria inayohatarisha uhai wako, nenda kaperesheniwe tusije kosa michango yako humu jf.
 
Home Remedy for Appendicitis
6¦1 The best home remedy for appendicitis would be a mix of 100 ml cucumber juice, 100 ml beet juice and 300 mlcarrot juice. Intake this juice regularly, two times a day.
6¦1 Buttermilk helps in curing chronic appendicitis. A liter of buttermilk should be consumed, on an everyday basis, for about a fortnight.
6¦1 In a liter of cold water, add 1 tsp fenugreek seeds and let it boil. Now, strain the water and have it while it's still warm, butnot too hot. This would prove effective to cure appendicitis naturally.
6¦1 Appendicitis can also be cured by having green grams. 1 tsp of sprouted green grams, twice or thrice a day; will prove to be worthwhile in treating appendicitis.
6¦1 Include coriander juice,radish juice and spinach juice in your regular diet.They will help treat appendices problem.
6¦1 For people who suffer from fever, along with appendicitis, decoction of the basil leaves will prove beneficial. Steep the leaves in boiling water and let them stand for 5 minutes. Strain it and your decoction is ready.
6¦1 Ginger helps in those appendicitis cases where the patient also has the tendency to vomit. Add a pinch of rock salt to 1 tsp of ginger juice and drink it. Alternatively, you can store raw cut pieces of ginger, with some rock salt, in a bottle and have it with your meals.
6¦1 Ginger and turmeric act as a good combination for treating appendicitis. They can be taken in a raw or powdered form. It reduces the pain and swollenness resulting from appendicitis.
 
hakijauma ndo maaana unasema unogopa oparation... tumia ampclox dose for seven day............ but umejuaje kama ni appendecitis
 
Back
Top Bottom