Nna wadada wa4 kimahusiano..ila nawish hii valentines inipitie kushoto tuu,sii feel kabsa..nikwanin,au siwapend nin?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
Wakuu niko kimahusiano na wadada takriban wa4,ni wazur na wana vigezo vyote,..walikua wa3 huyu wa4 hana hata mwez..siku ya wapendanao wala hata si i feel,tofaut na miaka kadhaa nyuma pind nipo na mdada flan etc etc..kwel upendo ni zaid ya kila kitu..usipompenda mtu kwel hata afanyaje.
Hawa wadada wanajitahid,kuna wawil ndo wanapajua kwangu ila wengne hawa nawarushaga tuu ili wasifike.

N.b,..nachojiuliza hiv kwel watu wanaooana kwa sabab flan na sio upendo hiv wanawezaje?..especialy wadada..wanaume weng tunapoamua kuoa ni had tumpende huyo dada.ila si lazma kwa wadada kua hiv.
 
Sometimes tusimlaumu Trump anapotutukana... Waafrika tunawaza ngono muda wote... Sasa wewe wanawake wanne wote ulikua unawapeleka wapi?? Umekua kuku!?
 
Umedanganya wanaume wanaongoza kwa kukurupuka na kuoa mtu wanayemuona anawaitikia kila kitu kwakuwa tu mda umewadia kuoa.
 
Heshima Mkuu, Napoleone.

Ipo nukuu moja ya Shakespeare (1564-1616) naipenda sana, inasema hivi "Though we seemed dead we didi but as-sleep" yaani "Japo tulionekana wafu lakini tulikuwa tumelala tu" (Nb; Tafsiri ya mwandishi). Unaonekana umelala tu, Japo u mfu. Kumradhi.

Love is blind Comrade. You know who you Love but you dont now who Loves you back. This is the so called Stress. Hivi Isaack Newton, Galileo walioa kweli?.

Una wadada wanne?. Sasa anayeathirika hapo ni nani ndugu?. Au ni muumini wa ile sunna pendwa ya Mtume Muhammad S.A.W ipendwayo na sie kuliko sunna zingine zote?, kuishi na wanne?.

Siyo hui-feel Valentine au huwapendi hao wadada. Unaikwepa Valentine Day usije kugonganisha treni, gharama za hapa na pale na orodha inaendelea..

Full stop.
 
Back
Top Bottom