Nmesiikitishwa na upendeleo aliokuwa akifanya Spika Ndugai

chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,047
2,000
Nilipatwa na bahati ya kumsikia mheshimiwa Ndugai jana bungeni,nilisikitishwa na upendeleo aliokuwa akifanya,ila Msigwa akaja na hoja kuwa "kupishana mitazamo sio kosa "na mengine mengi ila mwisho akahitimisha kwa kutoa hoja; ni kwa nn Ndugai aliruhusu hoja au waomba utaratibu kutoka CCM kurudia aina ya kuomba utaratibu zaidi ya 6 au 7 na waombaji wote wanazungumza yaleyale na akajaribu kumkumbusha SPIKA kuwa wao wapinzani siku zilzopita,

Walijaribu kufanya hivyo ila alikuwa mkali na kuwapa onyo,alivyojibu Spika alikana na kumpiga mkwara Msigwa kuwa"Msigwa unaposhutumu kiti cha spika uwe na ushahidi"wakati kwa wale wote waliobahatika kufuatilia,hata mwanafunzi wa darasa la nne tuliyekuwa naye katika basi hilo la mwendokasi kimara-moroco naye alimshangaa, aliwasikia wabunge wa CCM wakirudia kuomba miongozo,ndipo swali likaja hivi huyu Ndugai jana alikuwa vzr au ndio moyo wa mtu ni kiza kinene,.

Kuna dogo mmoja mwanafunzi alizidiwa uzalendo na anasoma shule ya msingi Msasani karopoka nanukuu"HEEEENH hata mimi nimewasikia wale wa mama si wa CCM wakiongea insu ile ile halafu huyu spika anataka ushahidi heeenh hivi huyo ndio Spika au amegeuka kuwa chi...............''.

Gari zima lilimgeukia yule kijana na kuangua kicheko,nikasema huyu dogo kamkosea spika au alizidiwa na mihemko,nikaona hili suala nitawaletea wana JF.Hawa vijana wa siku hizi duh!!!!!!
 
Eng Saimon

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
353
500
Kunavitu vingine inabidi ukaushe tu kuliko kushare halafu halafu hadhira isikuelewe...
 
Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,187

Ni kweli usemayo, Ndugai amelewa sana madaraka. yaani mara elfu ya Anna Makinda.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386

Kwa sasa hawana tofauti na Mkuu wa wilaya ya Ubungo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom