Nmemfaham toka utoton na cc nmempenda ila katoa nje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nmemfaham toka utoton na cc nmempenda ila katoa nje!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pejokiss, Aug 21, 2011.

 1. P

  Pejokiss Senior Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wandugu nampenda mschn ambay nmemfaham cku nyngi ila yy amekua akinichkulia kama rafki2 hvyo nilpomtokea akachomoa sasa cjui nifanyeje!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  where do we start?????lol
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Cha kufanya??? ugulia na maisha yaendelee.
  hakuna kingine hapo.
   
 4. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Pejokiss
  Pole sana, most of the time mwanamkwe akisha kuweka kwenye the dreaded " friend zone" , it's very hard "kujinasua", unless
  • The current mlaji a-mess up big time
  • Fate/Luck is on your side that she picks your shoulder to cry on
  So, I'd say your best bet is to give it some time and then ongea nae tena. If the answer is still NO then , know its NO and just move on
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni bora amekukatalia kistarabu kuliko angekuchukulia kama buzi akakuchuna,mueleze tena na mwambie afikirie tena ombi lako na muhakikishie kua hata jibu likiwa NO utakua tayari nalo na hutomsumbua tena na mtaendelea kama mlikua friends mtaendelea kua hivyo na utaheshimu mamuzi yake...
   
 6. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Anaogopa kuvunja urafiki wenu, coz kwa vile anakujua, amejua mambo mengi sana kuhusu wewe, na ameona hamuendani kwa kila kitu, kwa hiyo songa mbele
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Una uhakika hana mtu? But, jaribu kwa mara ya pili, akichomoa mwache na uheshimu maamuzi yake,......akikubali ni heri zaidi!!
   
 8. P

  Pejokiss Senior Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nashukurn wanajf kwan hii n mara ya kwanz kwangu kuomba msaada saa chache baada ya kujiunga,hvyo ntajitahdi kuzngumza nae kwa kuw nampenda cna huyu bint!
   
 9. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shantel big up!! umesema kweli, hivi wewe pejokiss unaishi Eden au hapa duniani?
  maana Eden walikuwa Adamu na Eva tu ndiyo maana jamaa hakuwa na alternative akaangukia hapohapo alipokatazwa, akashitakiwa kwa ugoni maana yawezekana ile ilikuwa mali ya Bwana, jama hakuruhusiwa kuingia ubia, lakini wewe mbona wako wengi?
  yawezekana umekaa siku nyingi kama rafiki huyo mdada akaingiwa na wasiwasi juu ya utendaji wako kunako maeneo, ndiyo maana anaogopa utadisappoint kwa kutotendea haki tendo la kiuumbaji, chukua mali nyingine halafu tegeshea siku hiyo amesema anakuja kukutembelea, acha mlango mkuu wazi, akifika nje ya chumba (sebuleni) asikilize muziki wako kwa ndani unavyoitendea haki shughuli, ili ajijutie kukukosa. hatakuuliza na itakuwa mwisho wake kukufuata, Usikawie fanya hayo sha sha!!!!
   
 10. Kelema

  Kelema Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia, hapo mtihani usije ukaanguka. Sikiliza nafsi yako. Kama umempenda kweli kwa dhati, fanya yafuatayo:-
  1. Jiulize kama kasoro zake alizonazo unaweza kuzivumilia?
  2. Jichunguze wewe mwenyewe ulivyo(japo wengi huwiwa vigumu) unaweza kumwomba rafiki yako wa karibu akufafanulie vile ulivyo. Uone kama unaendana na yeye.
  3. Jiulize, unataka kumpendeza Mungu au wanadamu? Kama ni Mungu, SALI wakati kumetuliaaaaa, kimya kabisa, mweleze Mungu wako haja za moyo wako, naye atatenda (Lakini kwa wakati wake). Uwe mvumilivu.
  4. Baada ya haya yote, tafuta muda mzuri, mkiwa mmeketi peke yenu, ongea naye tena, ukiwa unajiamini, na umwelezee wazi hisia zako, bila kusita. Kisha usitake majibu ya haraka, mwambie unampa muda, afikirie upya, kisha akupe jibu.
  5. Kama bado hujapata jibu zuri, subiri, mkeo yupo utakayepewa na BWANA.
  6. Jitahidi kuwa smart, na usimsumbue sumbue, wala usimnunie. Mtendee kama rafiki wa kawaida tu.
  7. Akisisitiza kukataa, huwezi jua labda tayari ana ampendaye ila hajakwambia. Si vibaya ukimuuliza kwa upole tu, "Kwa nini haiwezekani?" Huenda ukapata majibu yatakayokufungua macho na ukafaidika. Ama huenda ana dhana fulani potofu juu yako, ukizijua utamsaidia akuelewe vizuri zaidi.
  NB:- Kujuana na mtu kwa muda mrefu, si 100% kwamba unamjua. Anaweza kuwa na agenda zake za siri, na anaogopa kukuambia
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Deadline for entries Friday, September 9

  The Business Travel Awards offer entrants a number of tangible benefits, including opportunities to:
  1. Benchmark your organisation, service or product against your competitors
  2. Impress clients and customers with your success
  3. Boost confidence in your products and services
  4. Add gravitas to your marketing materials
  5. Stand out from the competition as a recognisable award winner
  6. Boost employee morale
  7. Prove your business is listening to and adapting to your clients' and customers' needs
  8. Celebrating your potential win with the industry
  For the Business Travel Awards 2012, we have put together an entry process which allows entrants to present a full picture of their activities and allow for a greater level of individuality and flair in the submissions. A company can enter as many categories, subject to eligibility, as it wishes.
  Entrants will find a questionnaire, designed to elicit as much information about your organisation's activities, approach to business and its accomplishments. It deals with everything from growth to customer satisfaction, industry-leading innovation, client and staff retention rates, investment in training and more. This will enable the judges to make an in-depth assessment of each entry and benchmark individual responses.
  The judges will be looking at all the factors that contribute to the overall success of an organisation, service or product. There is space at the end to add anything you feel might support your case.
  We are not asking for information that is not in the public domain, but where claims are made, any supporting evidence, such as an annual report, Companies House filing, or public statements or references to the information for validation purposes, will be required. Unsubstantiated claims, or claims that cannot be verified, cannot be taken into account by the judging panel.
  While it is not essential to answer all the questions, the more comprehensive an entry is, the higher the potential score. The judges will be looking at the wide range of factors that contribute to an organisation's overall success, from innovation to performance, and from client and staff retention rates to customer satisfaction ratings.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  ile vile, wanawake mara nyingi huwa si rahisi kukubali mara moja, huenda anakupenda pia, jaribu tena. Peleka vizawadi vya kirafiki, tabasamu kila unapomwona, mpongeze anapofanya vizuri, mpe pole, n.k.
  :peace:
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Toka utotoni? Anakujua vyema huyo, bila shaka analysis yake kwako haijampa majibu mazuri, yaweza kuwa kwa sababu ya ukaribu mlionao akahisi unamtambua madhaifu yake or anadhan haupo seriou a.k.a unamkejeli. Ushauri wangu ni kwamba mpe muda binti.
   
 12. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Komaa naye tu mkuu kwani we ulitegemea atakubali siku hiyo hiyo kama kweli unampenda basi endelea kumwimbia wimbo wa kumpenda ha ha siku moja mwenyewe atausikiliza na kuitikia.
   
Loading...