NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

Mdolidoli

JF-Expert Member
Jun 9, 2020
221
242
Hakika ule msemo wa pesa sabuni ya roho umejidhihirisha baada ya Bilionea Laizer kupongezwa kimasai na Benki ya NMB wakionyesha heshima kubwa kwake.

Pata pesa benki zikufate popote ulipo tena kwa kutumia lugha yako.
1593689137030.png
 
kwenye interview aliyo fanya laizer na millard ayo ana sema kwamba alisha omba mkopo bank(hakutaja n bank gani) zaid ya mara mbili na zote izo alkua ana ambiwa aende asubiri wana shughulikia suala lake lakin mara zote hizo mbili haku fanikiwa licha ya kupeleka vielelezo vyake ili apate mkopo

leo naona wajuba kama wajuba wanampa pongezi kwa lugha yao

kweli bongo nyoso
 
Ukiwa na pesa utathaminiwa haraka haraka

Ukiwa alosto hata nzi wanakukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzetu Kenya wanajitahidi kuhifadhi lugha zao , mfano wana hadi tv kama vile inooro, na kameme zenyewe hazitangazi kwa kiswahili wala kiingereza, bali kwa lugha asilia, ila nasikia hapa tanzania ukifanya hivyo hupewi leseni ya utangazaji
 
Back
Top Bottom