Nmb wamefanya uthibiti wa Coronavirus kwa kuweka sabuni na dawa CRDB, NBC na TPB Posta sijaona mnasubiri nini

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,753
7,075
wana JF,

Ukiingia NMB mlangoni unakuta mtu wa kukuelekeza kunawa mikono kwa kujipaka dawa fulani hivi kama sabuni alafu unaendelea na shughuli zako, sasa hizi benki nyingine hakuna huduma hivyo wanagonja nini?

Taadhali zinaanzia kwenye mikusanyiko naona sasa kila basi zote zibebe sabuni hizi kabla ya kushika mabomba. watanzania tabia ya kujikuna uso haikwepeki kwani jasho la joto limetapakaa.
 
Jana Mbowe na Wanasiasa wenzie walikuwa wanakumbatiana baada ya kutoka gerezan bila ya kujali tahadhar ya Kirusi

Usiache kuchukua tahadhar kwa kuwa tu alietoa tahadhar ni hasimu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wana JF,

Ukiingia NMB mlangoni unakuta mtu wa kukuelekeza kunawa mikono kwa kujipaka dawa fulani hivi kama sabuni alafu unaendelea na shughuli zako, sasa hizi benki nyingine hakuna huduma hivyo wanagonja nini?

Taadhali zinaanzia kwenye mikusanyiko naona sasa kila basi zote zibebe sabuni hizi kabla ya kushika mabomba. watanzania tabia ya kujikuna uso haikwepeki kwani jasho la joto limetapakaa.
Nimevuta picha sabuni na maji kwenye mwendokasi
 
wana JF,

Ukiingia NMB mlangoni unakuta mtu wa kukuelekeza kunawa mikono kwa kujipaka dawa fulani hivi kama sabuni alafu unaendelea na shughuli zako, sasa hizi benki nyingine hakuna huduma hivyo wanagonja nini?

Taadhali zinaanzia kwenye mikusanyiko naona sasa kila basi zote zibebe sabuni hizi kabla ya kushika mabomba. watanzania tabia ya kujikuna uso haikwepeki kwani jasho la joto limetapakaa.
Nahisi Corona haizuiliwi/kukingwa na sabuni tu, we hata ukinawa ukifika kaunta unagusa kwa mkono, kuandika karatasi ya deposit/withdraw lazima uishike, kufungua mlango wa kuingia/kutoka, kwenye usafiri wa umma nk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom