NMB unatakiwa uende na nini?

1Pierre

Member
Jan 11, 2016
80
82
HELLO ..kwa wale walio itwa kwenye interview post ya "Graduate trainee" kwenye benk ya NMB, naomba kujua ni lini, saa ngapi na unatakiwa uende na nini?
 
lini walitangaza hizo nafasi????? mbona walivotoa hukuja hapa kuulizia????? acha upumbavu mkuu, change my young.
 
Ninavyo fahamu ukiitwa kwenye interview unapewa details zote. Labda utujuze ulivyoitwa uliambiwa nini?

kweli walinipigia siku ya ijumaa wakaniambia niende tarehe 3 siku ya j4....baada ya kukata sim nikaangalia tarehe nikakuta tarehe 3 ni j5....nimewapigia ila sikuwapata hewani....sasa tatizo nifate tarehe ama siku?
 
Nenda j4 kama hamna urud hiyo j5.. Kwa kawaida kwenye interview huwa wanakagua vyeti so nenda na vyeti vyako vyote cha form iv/vi cha chuo dipl/degree/certificate kulingana na elimu yako.. cha kuzaliwa na ikiwezekana beba na picha (passportsize)
 
poa poa mkuu
 
Back
Top Bottom