izbullah
Member
- May 30, 2019
- 31
- 55
Mie natumia card ya chp chap tokea niajiliwe kuwa mtumishi wa uma sipati sms binapo ingiziwa mshahara wangu nilienda ofisini nikawaeleze tatizo langu wakaniambia inabid ujaze fom yan massege alert nilivo jaza lakini tatizo likawa lilelele nikarud tena ofisin wakaniambia inabid account yako ya chapchap inabid uikuze yan uiongezee taarifa nikafabya hivyo mwezi ulio pita bado sikupata sms ya kunitaarifa kama pesa imeingia
Yan mm nimekuwa mtu wa kuuliza tu kwa watu vip mshahara umetoka hiv haya mateso mpka lini
Yan mm nimekuwa mtu wa kuuliza tu kwa watu vip mshahara umetoka hiv haya mateso mpka lini