Mie mnanikera sana NMB.
Hivi kwanini mteja anakuja kwenye tawi lenu, ana bili au sijui niseme vocha ambayo tayari amepewa kwenye ofisi ya serikali, hiyo karatasi inakuwa ina control number, lakini bado mnataka mteja ajaze tena zile karatasi zenu za benki za kuwekea hela.
Kwanini hamfanyi kama CRDB mkaweka hela kwa kutumia ile karatasi ya bill aliyonayo mteja kutoka ofisi husika ya serikali. Mnaboa sana aiseee!!!