Mie mnanikera sana NMB.

Hivi kwanini mteja anakuja kwenye tawi lenu, ana bili au sijui niseme vocha ambayo tayari amepewa kwenye ofisi ya serikali, hiyo karatasi inakuwa ina control number, lakini bado mnataka mteja ajaze tena zile karatasi zenu za benki za kuwekea hela.

Kwanini hamfanyi kama CRDB mkaweka hela kwa kutumia ile karatasi ya bill aliyonayo mteja kutoka ofisi husika ya serikali. Mnaboa sana aiseee!!!
 
NMB Mandela Road branch Manager wenu ni tatizo kubwa, yule mama ni kiburi, customer care ni O+, hana majibu mazuri kwa wateja fanyeni atoke haraka iwezekanavyo. Nahisi kuna mkubwa anaeyejivunia.
 
NMB Klik mimi sielewi baada ya kufanya update haifunguki baada ya kuweka password, shida iko wapi?
 
Tabia yenu mtu amemaliza mkopo kisha mnaendelea kumkata mnakera sana...mkifuatwa mnajibu eti tulikosea mahesabu deni lilikuwa bado halijaisha...hilo linakera zaidi na ninalichukulia ni utapeli tu
 
Hivi loan advance NMB mmesitisha?????
Maana toka asubuhi hakuna kitu jibu ni kwamba tembelea tawi lolote ukiwa na kitambulisho
 
Wako wapi NMB kujibu maswali humu?
NMB Tanzania ni janga kama yalivyo majanga mengine. Nilijitoa hili libenki kwa tatizo la kitoto sana. Nashangaa mpk leo wananisumbua na vimeseji vyao wakati niliwakacha nikiwaachia zaidi ya 400K.

Kuwa mteja wa NMB unapaswa kuwa na kichwa chenye IQ ndogo kama ya nyau
 
Kwanini mnatuletea usumbufu, tulishajaza vendor forms na kupitia kwa waajiri wetu na mkazihakiki, sasa tena mnatuambia tukahakiki kadi zetu kwenye tawi hamuoni huu ni usumbufu kwa wateja? Kwani mtu anawezaje kuwa na kadi feki?
 
Nina shida kwenye Nmb mobile kwenye sehemu ya Nikopo.

Nikiomba Salary advance inasema niende na kitambulisho Nmb branch.Nimeenda wakaniambia niwape salary slip na kitambulisho cha kazi lakini bado tatizo liko pale pale.Naomba mnisaidie.

Naomba ikiwezekana mnitumie namba zenu za wasap nitume salary sleep na Kitambulisho cha kazi. Jina la akaunti ni John Yohane,Account no 51010013034. check no 111664825,85T3 5008,85T3-002.Natuma kitambulisho chino.
 
IMG_20190525_200232.jpeg
 
Back
Top Bottom