NMB msipobadilika ipo siku mtawatafuta wateja mpaka chooni hasa kwenye kitengo au idara ya mikopo kuanzia matawini hadi huko Makao Makuu.

Huyo afisa anayechunga mikopo (Loan monitoring Ofisa) huwa anachelewesha sana kujibu wateja wanaotaka kulipa mkopo (kuurudisha) hasa wakati mkopo umesharudishwa hivyo kupata clearance letter inachukua zaidi ya wiki moja hadi 2.

Kwa kweli hiyo sio sawa, kwa mteja ambaye amefanyiwa hivyo hawezi kurudi tena kwenu mjirekebishe, hasa ukizingatia kuna ushindani wa hali ya juu.

Lakini kama anapata huduma nzuri kuanzia wahudumu wa idara husika mpaka juu anaweza kurudi tena. Badilikeni CEO chunguza idara yako hiyo ni idara nyeti sana kwa ustawi wa benki.
 
NMB msipobadilika ipo siku mtawatafuta wateja mpaka chooni hasa kwenye kitengo au idara ya mikopo kuanzia matawini hadi huko Makao Makuu. Huyo afisa anayechunga mikopo (Loan monitoring Ofisa) huwa anachelewesha sana kujibu wateja wanaotaka kulipa mkopo (kuurudisha) hasa wakati mkopo umesharudishwa hivyo kupata clearance letter inachukua zaidi ya wiki moja hadi 2. Kwa kweli hiyo sio sawa, kwa mteja ambaye amefanyiwa hivyo hawezi kurudi tena kwenu mjirekebishe, hasa ukizingatia kuna ushindani wa hali ya juu. Lakini kama anapata huduma nzuri kuanzia wahudumu wa idara husika mpaka juu anaweza kurudi tena. Badilikeni CEO chunguza idara yako hiyo ni idara nyeti sana kwa ustawi wa benki.

Hapa unavalisha samaki nguo.
 
Maafisa mikopo wamejaa rushwa ni waomba tmrushwa wakubwa sana, ukitaka nikwambie ni akina nani naomba ni pm nitakuonyesha madili yanayo pigwa yote kila kitu na hata namna ya kuwakamata wakila rushwa sio ngumu ni rahisi sana
 
NMB hivi inachukua mda gani ninapohamisha fedha toka NMB kwenda CRDB kwa njia ya NMB Mobile? Maana niliyemtumia anadai hazioni masaa 2 sasa.
 
Maafisa mikopo wamejaa rushwa ni waomba tmrushwa wakubwa sana, ukitaka nikwambie ni akina nani naomba ni pm nitakuonyesha madili yanayo pigwa yote kila kitu na hata namna ya kuwakamata wakila rushwa sio ngumu ni rahisi sana
Sasa kama unawajua si upeleke sehemu husika kulalamika hapa haitasadia vyombo vipo, ofisi za usalama kwanzia ngazi za wilaya zipo, takukuru wapo tena kwanzia wilayani mbona huendi huko unakuja hapa kulalamika tu kulalamika tu kama unao ushahidi fika huko watiwe mbaroni saasa
 
Mm nilifungua Junior account tokea 2017 June hadi leo sijapata uku makato wanakata kweli hii ni national mateso bank
 
Kuna siku nilikuwa kwa foleni NMB pale ubungo, kuna dada mhudumu kutoka dirisha lingiakawa anaonyesha ishara ya kuita, sasa nyuma yangu alikuwepo mzee yule mzee akaenda mara kidogo yule mzee akarudi akaniambia ananiita mimi, nikaenda yule sister akanambia kwa nini ananiita but mie navunga nitajitetea kimtindo akanihudumia chap, sema mimi ni mvivu mvivu tu, ila ngekuwa mwingine angekama fursa.
 
Kapicha mkuu
images
 
Nina shida moja,nikiomba salary advance sipewi na cjui 7bu.
Hiyo salary advance ni loan sio grant hivyo sio wote inaweza kukubari wengine inakataa na hata ukifika kwao kuwaambia wanakwambia rekebisha taarifa za account yako then ukifanya hivyo bado inasumbua achana nayo maaana hiyo sio grant guaranteed ni loan adjustment ndugu
 
Poa nashukuru haina shida nimekuelewa!!
Hiyo salary advance ni loan sio grant hivyo sio wote inaweza kukubari wengine inakataa na hata ukifika kwao kuwaambia wanakwambia rekebisha taarifa za account yako then ukifanya hivyo bado inasumbua achana nayo maaana hiyo sio grant guaranteed ni loan adjustment ndugu
 
Inachukua muda gani kwa mkopaji baada ya kukidhi vigezo vyote vya ukopaji hadi kupata huo mkopo?

Yaani mkopaji asubiri muda gani pesa itakua tayari kapata?
 
Inachukua muda gani kwa mkopaji baada ya kukidhi vigezo vyote vya ukopaji hadi kupata huo mkopo?

Yaani mkopaji asubiri muda gani pesa itakua tayari kapata?
Km una vigezo i.e mtumishi mkopo unapewa muda huo huo ukiomba.
Uzuri ipo sehemu ya kuangalia limit ya mwsho ya kiwango chako cha kupewa mkopo
 
Back
Top Bottom