usinisogeze
Senior Member
- May 6, 2017
- 195
- 119
NMB msipobadilika ipo siku mtawatafuta wateja mpaka chooni hasa kwenye kitengo au idara ya mikopo kuanzia matawini hadi huko Makao Makuu.
Huyo afisa anayechunga mikopo (Loan monitoring Ofisa) huwa anachelewesha sana kujibu wateja wanaotaka kulipa mkopo (kuurudisha) hasa wakati mkopo umesharudishwa hivyo kupata clearance letter inachukua zaidi ya wiki moja hadi 2.
Kwa kweli hiyo sio sawa, kwa mteja ambaye amefanyiwa hivyo hawezi kurudi tena kwenu mjirekebishe, hasa ukizingatia kuna ushindani wa hali ya juu.
Lakini kama anapata huduma nzuri kuanzia wahudumu wa idara husika mpaka juu anaweza kurudi tena. Badilikeni CEO chunguza idara yako hiyo ni idara nyeti sana kwa ustawi wa benki.