Umefanikiwa mkuu ? Mimi sijafanikiwa hadi leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushauri wa jamaa hapo juu ulikuwa sahihi ila siyo suluhisho la moja kwa moja, nimejaribu ikakubali, baada ya hapo simu ilipozima chaji nikachomeka, nilipowasha na kutaka kutumia hiyo application tatizo likarudi tena.

Nime-uninstall application yao, kampuni kubwa wanakuwaje na application ovyo kama hii halafu tatizo hili hata kwenye comments kwenye social media platforms zao pamoja na playstore watu wamelizungumizia sana wanaleta majibu ya kisiasa tu.

NMB kama application haipo vizuri fanyieni marekebisho ndo muirudishe tena.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Ivi kwa mkopo wa gari ni Asilimia ngapi kwa mwaka kama ni kwa muda wa miaka 3. Na kama ni gari mpya unaagiza au unanunua showroom za apa apa Tanzania. Kama ninafanya bihashara kwa mwezi napata faida ya laki 8 kwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NMB MASWA branch. Mnakera Sana. Toka Jana asubuhi nimepeleka cheque yangu ipite Hadi leo muda huu bado. Na hii ni Mara ya tatu. Nilishawahi mweleza branch manager lakini naona bado tatizo lipo palepale. Wengine wetu no wasafiri na wafanyabiashara tunapita njia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu wakuu, aulizaye anataka kujua

Nina kadi ya NMB ila waliniambia itakwisha muda wake siku fulani. Nikaenda wakazingua ni kama hawakufanya chochote maana nilipewa fomu nikajaza taarifa zangu kisha nikawakabidhi wakasema niondoke zangu nitatumiwa ujumbe, nikasubiri bila mafanikio sikufanikiwa kutumiwa hiyo SMS. Mimi nikaishia, ila baada ya muda nikatumiwa SMS nyingine kwamba tumeongeza siku 60 mbele unaweza fika kwa matawi yetu upatiwe huduma.

Mpaka sasa hizo siku 60 zishaisha mimi sijakwenda kutokana na changamoto ya sehemu niliyopo.

Sasa ninaomba kuuliza kwa changamoto hiyo hapo mimi ninasaidikaje? NMB Tanzania

Wenu katika BWANA. At Calvary.
 
"nikaenda wakazingua ni kama hawakufanya chochote" Eleza hapa walizinguaje na ulijuaje kama hawakufanya chochote?
Utaratibu uliotumia ndio huo huo wanafanyaga wateja wote.

Unapewa form, unajaza, then anakwambia nenda. After 5 working days unatumiwa msg kwamba ukachukue kadi yako bank ulipojazia form.
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom